haja

Håja (Norwegian) or Jievju (Northern Sami) is an unpopulated island in Hammerfest Municipality in Troms og Finnmark county, Norway. Håja is located in the Sørøysundet strait, between the larger islands of Kvaløya to the east, Seiland to the south, and Sørøya to the northwest. The town of Hammerfest lies about 8 kilometres (5.0 mi) to the east of Håja.On the island, there is a gull colony. Locals use the island for picking seagull eggs and berries, traditional ingredients of North Norwegian cuisine.
Several companies and institutions in Hammerfest have been named after Håja, including a kindergarten.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  2. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kumenya viazi vya chips?

    Nasikia chips za viazi visivyomenywa ni tamu zaidi. Sasa kwa nini tunahangaika kumenya badala ya kuosha viazi na kukatakata?
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Burundi kutazamwa kwa jicho la huruma na kusaidiwa

    Wakuu kwa hali ilivyo naona kabisa Burundi ni taifa lililofeli kabisa kiuchumi. Ndani ya wiki hizi 2 nimeona raia wa Burundi wakifukuzwa nchini Kenya, Tanzania na Zambia kwa mamia. Yaani jamaa hawatakiwi. Kwa mfano juzi Zambia imewarudisha makwao wahamiaji haramu 143 ambapo waburundi ni 133...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  6. JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je Kuna haja Office ya Mashtaka kutangazwa persona non-gratia?

    Wadau doctrine ya persona non-gratia inamaanisha kuwa ofisa wa kidiplomasia mfano Balozi anapokuwa anawakilisha Nchi flani, Nchi hiyo inaweza kumtangaza kuwa ni mtu asiyefaa kuwa kwenye office husika kutokana na mienendo ya hovyo ambayo anakuwa ameionyesha. Sasa kutokana na matendo ya kudharau...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Chadema hawataki Maridhiano CCM sii iliriadhane na Vyama 18 vilivyopo. Kuna haja gani ya kumsubiria "Mwenzao" waliyemfunga

    Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale. Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu? Je hawa wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  11. JamiiForums Tanzania Bawasiri ni kutanuka au kuvimba kwa mishipa ya damu (dilated or enlarged veins) iliyopo sehemu ya chini ya rectum au sehemu ya haja kubwa (anus).

    VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI 1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight) 2.🖇️ Ujauzito 3.🖇️ Unywaji pombe 4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu 5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. 6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia...
  12. JamiiForums Tanzania HOJA Kuna haja ya kuwa na vituo vya kulea wazee mikoa yote Tanzania

    Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao. Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania haina haja ya kua na ushirikiano wa kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa taifa jingine.

    Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nina haja nawe kila saa

    Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .?? Nimekosa nguvu kila saa matatizo. Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

    Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama? Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kusambaza vipeperushi mitaani kukakataa kushirikiana na Wazanzibari

    Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa. Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi vya maandamano kuna haja ya kuandika vipeperushi vinavyotaka Wazanzibari watengwe na kurudi kwao ama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya Msajili wa vyama siasa tena

    Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi Awe sheria sio viongozi wajinga...
  19. JamiiForums Tanzania Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

    Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo Ila naona yeye alivochukulia ni kama ametokea Bunju B kwenda Kawe, yaani amechukulia kuwa ni jambo la...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

    Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…