Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,791
- 20,975
Nasikia chips za viazi visivyomenywa ni tamu zaidi. Sasa kwa nini tunahangaika kumenya badala ya kuosha viazi na kukatakata?
Za mtaani mafuta yake wanachovya makuku, mishikaki, yote ikiwa na viungo tele teleNi kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Kiafya ikoje hii haina shida?? Niliona mtu anafanya hivi sikuelewa kumbe unakula kabisaaa bila kumenyaaaa🫣Mimi nilishaacha kunenya,Huwa navisugua kwa blash ngumu ili kutoa gamba la juu.
Ukiwa na Kiko mbili ,ukamenya tegemea kupoteza nusu kilo,awali familia yangu tulikuwa tunakula kilo tatu,baada ya kugundua hii mbinu tunakula kilo Moja na nusu
apply theory ya kwanin wali wa msibani ni mtamu kuliko wa nyumbani..chakula kinachopikwa kwenye mkaa au kuni ni kitamu kuliko cha kwenye gesi au umemeNi kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Halafu zinakuwa nyeusiNi kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Wanasema visivyomenywa vina fibre nyingi zaidi. Hata viazi vitamu.Kiafya ikoje hii haina shida?? Niliona mtu anafanya hivi sikuelewa kumbe unakula kabisaaa bila kumenyaaaa🫣
Viazi vitamu sawa, hii hata mie naweza pika bila kumenya, ila hii ya chips mmhWanasema visivyomenywa vina fibre nyingi zaidi. Hata viazi vitamu.
Ila mimi nilijua labda wazungu wana jamii yao ya viazi kumbe hata huku inawezekana.
Ni wapi hapo ndio kule Msosi unakuja na maua maua ? Huku kwetu mtaani ukifanya hivyo utasikia wanalalamika kwamba viazi vinapigwa dawa, kula na maganda ni kujilisha chemicals.Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Mpaka Sasa tunachemsha tunaweka mahindi, karanga na mboga mboga ukitoka kula uko hoiZamani viazi vitamu tulichemsha na maganda yake.
Asante bro kwa ushuhuda.Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Hakuna shida,mbona viazi vitamu huw tunakula na magandaKiafya ikoje hii haina shida?? Niliona mtu anafanya hivi sikuelewa kumbe unakula kabisaaa bila kumenyaaaa🫣
Nakula sana hivi vitamu lakini namenyagaaaa🤣 kumbe vice versa is trueHakuna shida,mbona viazi vitamu huw tunakula na maganda
Kwenye fibre apo nakubaliana nawewe, mana ukimenya tu mzigo unakaa sana tumbonii......vipi ukiacha na ganda lake si utakaa siku kadhaa bila njaaa!!!Wanasema visivyomenywa vina fibre nyingi zaidi. Hata viazi vitamu.
Ila mimi nilijua labda wazungu wana jamii yao ya viazi kumbe hata huku inawezekana.
Wanasema wali wa msibani ni mtamu kama haujapikwa kwenuapply theory ya kwanin wali wa msibani ni mtamu kuliko wa nyumbani..chakula kinachopikwa kwenye mkaa au kuni ni kitamu kuliko cha kwenye gesi au umeme