Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai.
Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye.
Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini...