Ninekuwa na maamuzi, Sabaya ningempeleka Hai niwaachie wananchi wamsulubishe wenyewe

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
1,025
1,905
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya ubaya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti mabinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.

Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.

Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
 
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.

Kweli kabisa,maana jamaa alikuwa katili sana,arudishwe huko wilaya ya hai ili wananchi wamyoshe vizuri mpaka akili imkae sawa.
 
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.

Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.

Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Acha unafiki na umbea kama siyo ujuha na roho mbaya. Itakusaidia nini hiyo roho mbaya?

Walifanyiwa na wote kabisa wakakaa kimya, kweli? Leo ndo wanakumbuka kwamba walifanyiwa ukatili?

Tumwogope Mungu, hata kama ni mkosefu, ahukumiwe kwa lile la haki.
 
Labda kama ni kwa KIDUKU Toto TUNDU - - His Excellency Rais wa North Korea - "Rocket man" in Trump(manywele)'s voice.
 
Acha unafiki na umbea kama siyo ujuha na roho mbaya. Itakusaidia nini hiyo roho mbaya?

Walifanyiwa na wote kabisa wakakaa kimya, kweli? Leo ndo wanakumbuka kwamba walifanyiwa ukatili?

Tumwogope Mungu, hata kama ni mkosefu, ahukumiwe kwa lile la haki.
Apigwe mawe hadhalani mpaka afe, amfate mwendazake, next awe bashite
 
acha alipie tu angalau kwa machache aliofanya.
 
Tendeni kwa uadilifu
Mwisho wa kazi zake Serikali umekuwa mbaya lakini namuona Sabaya akiwa ni shujaa Kama akifungwa , Naona Serikali ya awamu ya 7 ikimtoa jela.
Paul Makonda una Bahati sana hayati Magufuli aliona mbali kuto kukutea mara ya 2 kuwa mkuu wa Mkoa. Hakika ungekuwa Mkuu wa Mkoa yangekutokea mara 2 ya Sabaya.
 
Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Kwahiyo tuhuma zidi yake zimetengenezwa na chadema? Anatuhumiwa kwa uhujumu uchumi
Anatuhumiwa kwa utakatishaji frdha
Anatuhumiwa kwa unyan'ganyi wa kutumika silaha!!!
Bado unasema tuangaliw clips zake?shame on you,jiulize inakuaje matukio yake na makamera ykama yote?huwa anapanga mipango kupata credit.

Ananyia debe sasa,waliomoa kazi ni CCM na waliomshaki ni CCM,chadema tunahusikaje?
 
Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Wakwepa kodi Arusha?by the way unajua JD ya DC? na mipaka yake ya kazi?
 
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.

Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.

Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
IMG-20210605-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom