haeleweki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Huyu Askofu mbona haeleweki?

    Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌 ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
  2. Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa. Nasubiri kuona Nani atakuwa...
  3. Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk) Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu...
  4. Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

    Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa...
  5. Netanyahu azungumza na Putin kwa dakika 50, amkaripia kuhusu Putin kuonekana kama ambaye haeleweki kwenye huu ugomvi

    Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa kajirani, Ukraine...........hiyo aibu imemfanya achanganyikiwe.... Prime Minister Benjamin Netanyahu...
  6. B

    Anayemuelewa Makonda anaeneza nini atuambie, sisi wananchi tunona kama haeleweki

    Mara apande Baiskeli, mara Troli na saa nyingine unaona kama vile amelazishwa kufanya baadhi ya matukio. Ni kweli CCM ilishakufa na hakuna namna ya kuizindua tena si Makonda wala nani. Kwani mpaka imwshindikana wakaamua kumtafuta mtu waloyemtupa nini ilikuwa shida? Ccm imemshinda Mjema...
  7. Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

    Huku kitaa watu hawaelewi kabisa. Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari. Ushauri. Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
  8. Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  9. Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  10. Rais Samia acha Kumtumia PM Majaliwa Kuelezea Jambo, kwani haeleweki, haaminiki tena na ana 'PhD' ya Kudanganya na Kukurupuka

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini. Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
  11. Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

    Ijumaa Kareem! Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema mwanaume Yule haeleweki, mume wake haeleweki, mchumba wake haeleweki. Haya ni baadhi ya mambo...
  12. Polepole anazungumza sana na watu wanamuelewa ila haeleweki

    KWA NINI POLEPOLE HATA AKIELEWEKA HAELEWEKI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mhe Polepole anazungumza sana na watu wanamuelewa ila haeleweki. Mhe Polepole haeleweki kwa kuwa aliyoyatetea akiwa kwenye Vieiti (V8) ndiyo yale anayoyapinga baada ya kuondolewa V8. Hivyo anaonyesha ni mtu ambaye akipewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…