hadithi

  1. JamiiForums Tanzania Hadithi ya Bwana Ugoko na Wapangaji Wenzake.

    Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi. Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na bastola tayari kumkabili yeyote atakayejaribu kuwavamia Siku bastola ilipowasili toka dukani na kutua...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi ya mme aliyepoteza mke wake na kichanga wakati akijifungua inaumiza

    Hadithi ya Barnaba Tillya aliyempoteza mke wake kipenzi,Irene Tillya wakati akijifungua katika Hospital ya Marangu juni 4 mwaka huu inaumiza sana. Ndiyo ni hadithi inayoumiza unapoanza kuhadithiwa kuanzia mke wake anapoondoka nyumbani hadi anafika Hospital na madhila aliyoyapata kuanzia wodi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni? Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani? Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa! Unashindwa...
  7. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiburi Kilichobomoa Ufalme wa Muziki wa EDM: Kisa cha Gabry Ponte na Kundi la Eiffel 65

    Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao maarufu "Blue (Da Ba Dee)", wimbo uliotikisa anga za kimataifa, ukapanda chati za muziki na kufungua...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi: Majaribu

    Hadithi: MAJARIBU Mtunzi:Mwaki Ze Done (0653814440) UTANGULIZI: Ni hadithi inayomzungumzia kijana mdogo wa kuitwa majaribu. Wakati akijaribu kuyakimbia matatizo yake akakutana na majaribu menyewe Sasa Alijikuta akikabiliwa na kesi ya mauaji ambayo hakuyafanya ilipelekea kupelekwa gerezani je...
  10. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré ni Kibanga aliyempiga mkoloni

    Captain Ibrahim Traoré rais wa Burkina Faso ameiweka nchi yake kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kote. Umaarufu na uungwaji mkono wa Mwanamapinduzi huyu umeenea sio tu Ouagadougou na ndani ya mipaka ya Burkina Faso, bali Afrika yote. Ni jambo lililo wazi kuwa captain amekuwa ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ni hadithi fupi

    Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi fupi: Hadithi ya Wakurya wa Tanganyika

    Na D. Kingdon. HADITHI YA WAKURYA WA TANGANYIKA WAKATI ule mvua ilikwishaanza; lakini majani yalikuwa yangali makavu, ingawa sehemu zingine zilikuwa na majani mabichi. Vivuli vya mawingu vilitanda juu ya miinuko ya nchi, na ukiangalia kwa mbali, utaona milima kama imefunikwa na moshi, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mchezo: 'Niongezee Sentensi' – Hadithi Hai ya Mtaa na Taifa

    Habari wanaJF, Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza akili na pia unaweza kuibua hadithi ya ajabu au tafakari ya kina juu ya maisha yetu ya kila siku. 📌...
  15. JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  16. T

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  18. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…