hadithi

  1. Lycaon pictus

    Hadithi: Umslopogazi na Nada

    Mwandishi: H. Rider Haggard, 1892. Install app ya Maktaba Sauti kutoka playstore uweze kusoma na kusikiliza vitabu mbalimbali. Utangulizi Miaka mingi imepita—wakati wa baridi, kabla ya vita vya Wazulu, kulikuwa na mzungu aliyekuwa akisafiri kupitia Natal. Jina lake si muhimu kwa sababu...
  2. Nelson Jacob Kagame

    Binadamu mnamjua Mungu aliyewaumba au mnakariri hadithi tu?

    Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu. Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu. Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
  3. ELI COHEN

    Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  4. Allen Kilewella

    Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

    Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu. Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran. Lakini kundi linalounga mkono...
  5. M

    Kutoka kufurahia “Kazi ipo hakuna rushwa” Hadi kuacha ndala Godown, Hadithi halisi ya kazi za viwandani kwa wageni

    Ilikuwa miaka ya 2010s mimi na rafiki yangu tulikuwa tunahangaika kutafuta kazi. Tumezunguka viwanda vingi kila ukifika unaambiwa “hakuna kazi”, “acha namba”, “rudi wiki ijayo”. Siku moja tukafika kiwanda fulani, kulikuwa na jamaa yupo getini ni msimamizi akatuangalia akasema tu, “kazi ipo...
  6. T

    Mfalme (THE EMPEROR) yupo uchi - HADITHI YA KWELI!

    Hapo zamani za kale palikuwa na Mfalme ambaye hakujali kitu chochote katika mamlaka yake isipokuwa mavazi yake, aonekane amependeza. Mfalme huyu hakufanya kazi wala hakupatiliza majukumu yake, alikuwa akiagiza tu. Yeye kila mwisho wa wiki alipanda farasi wake akatoka mjini na walinzi wake...
  7. kahawatime

    Application ya Simulizi

    Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
  8. CHAGOSI GERALD

    13. “Mtoto, njoo hapa nisikie vizuri, Nitakuambia hadithi ya JKT ambayo iliuawa kabla hujazaliwa

    Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku? JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote, chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI. Mtoto, fikiria hivi: Kijana aliyesoma Ualimu...
  9. N

    Wakuu naombeni link au nitagini na ule uzi wa vitabu vya hadithi

    Wakuu nisaidieni link ya uzi wa vitabu mbalimbali vya hadithi.au mkinitag nitashukuru pia.
  10. kaisar19

    Wasanii wa filamu, waandishi wa hadithi, Director,wachekeshi, Hili linawahusu

    kama kichwa cha habari kisemavyo tukutane hapa👇👇🎥KIBAO-CHA-SANAA 🎬🍿 Tujenge historia ya bongo movie
  11. Dr Luu

    Nilinusurika Kifo – Hadithi Yangu ya Kuogelea

    Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni. Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi kuogelea, hivyo nilichezea pembezoni mwa maji machache. Wenzangu waliniita: “Njoo hapa, sio kirefu!”...
  12. Damaso

    Malaika wa Kifo: Hadithi ya Kutisha ya Muuguzi Genene Jones

    Katika wodi ya watoto wachanga kwenye hospitali ya Texas, muuguzi mmoja alionekana mwenye tabasamu pana, uchangamfu kubwa, huruma na kujali isivyo kawaida. Alikuwa karibu na kila mtoto aliyelia, alihakikisha kila kitu kipo sawa, na mara nyingi alionekana kumfariji mzazi kwa tabasamu la matumaini...
  13. Joselela

    🌍 Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda

    Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda hadi ndani ya historia ya Uhuru, ikagusana na mifupa ya mashujaa waliopigania heshima ya ardhi hii...
  14. Mende mdudu

    Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

    Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu, Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una...
  15. The Supreme Conqueror

    Hadithi ya Bwana Ugoko na Wapangaji Wenzake.

    Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi. Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na bastola tayari kumkabili yeyote atakayejaribu kuwavamia Siku bastola ilipowasili toka dukani na kutua...
  16. GoLC

    Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  17. Ndagullachrles

    Hadithi ya mme aliyepoteza mke wake na kichanga wakati akijifungua inaumiza

    Hadithi ya Barnaba Tillya aliyempoteza mke wake kipenzi,Irene Tillya wakati akijifungua katika Hospital ya Marangu juni 4 mwaka huu inaumiza sana. Ndiyo ni hadithi inayoumiza unapoanza kuhadithiwa kuanzia mke wake anapoondoka nyumbani hadi anafika Hospital na madhila aliyoyapata kuanzia wodi ya...
  18. 1Africa54

    Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  19. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  20. M

    Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni? Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani? Hiki ni kisa cha yule bwana aliyesikika akisema Mimi situmii samaki lakini mchuzi wa samaki nakunywa! Unashindwa...
Back
Top Bottom