hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa...
  2. Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  3. Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  4. T

    Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

    Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu. Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo. Je, kuna kilichofichwa...
  5. Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani? ========= Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena? Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
  6. Polepole angepewa ubalozi wa Mongolia, Nicaragua au El Salvado ili ajifunze kuheshimu Wakubwa

    Salaam Wakuu, Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote. Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
  7. L

    Hadhi ya Kiswahili yainuka huku lugha hiyo ikitambuliwa zaidi

    Kiswahili ni moja ya lugha zinazoendelea kukua na kuwavutia wazungumzaji wengi duniani. Hivi sasa Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazozungumzwa na watu wengi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200. Baadhi ya wazungumzaji hutumia Kiswahili kwa shughuli rasmi wengine wakitumia...
  8. Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  9. Spika akijiuzulu atapata hadhi ya Spika Mstaafu?

    Nafahamu kwamba spika akistaafu kwa kumaliza muda wake anapata marupurupu ya spika mstaafu ambayo asilimia 80 ya mshahara wa spika atakayekuwepo hadi atakapofariki, lump sum pensheni ya jumla ya mishahara wake aliopokea kama spkika,diplomatic passport . Kwa subwoofer aliyejiuzulu itakuwaje?
  10. Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Hili soko ni la muda mrefu tena tangu baada ya uhuru, na lipo katikati ya jiji mita chache tu toka ilipo stand kubwa ya mabasi, lakini haliendani kabisa na sura ya jiji. Muundo wa soko ni wa kizamani kuanzia nje hadi ndani ambapo vizimba ni vidogo vidogo na wafanyabiashara wengine wamejijengea...
  11. B

    Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  12. Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  13. Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

    Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
  14. Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Wakuu, Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma! Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya. Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
  15. Uwanja wa ndege Kisongo jijini Arusha hauna hadhi

    Uwanja mdogo wa ndege kisongo ambao mara nyingi hutumika na watalii wanaokodi ndege ndogo kwenda kutalii katika hifadhi za taifa na sehemu za serengeti, ngorongoro na sehemu nyingine zenye vivutio vya utalii, hauna kabisa hadhi ya kuitwa uwanja wa ndege kwa maisha ya kileo. Maana muonekano ni...
  16. Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  17. Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

    Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka. Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati...
  18. Tuna hadhi na uchumi wa kati?

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa Kati kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kidunia. Swali (Money Maker): Tuna idadi ya watu takribani milioni 56 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna...
  19. Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
  20. Serikali irudishe hadhi ya shule za Umma

    Kuanzia kipindi cha mwaka 2010 mpaka hivi sasa tumeshuhudia juhudi za makusudi zikifanywa na serikali katika kuhakikisha kuwa sekta ya elimu licha ya kukua pia inatoa huduma bora kwa wahusika. Miongoni mwa juhudi hizo ni pamoja na mpango wa ujenzi wa maabara katika kila shule ulioasisiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…