hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  2. Kujamiina (sex) ilikuaje ukapata Hadhi hivi

    Yaan hata uwe Brigedia sijui Jaji Mkuu wa dunia. Linapokuja suala la kujaamiiana Lazima uwe mpole na kufuata PROTOCOLS zote 7 sawa Bodaboda,masela jobless kijiweni au konda tu NB: Siku ya UTELEZI duniani
  3. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  4. Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

    Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana. Ikikumbukwa hawa hawa Warusi...
  5. L

    Mkoa wa Hunan waelekea kuwa na hadhi sawa na Guangzhou kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msukumo mpya kwenye ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya China na nchi za Afrika. Kupitia majukwaa mbalimbali ya biashara ya China, kama vile maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China yanavyofanyika mjini Shanghai (CIIE), maonyesho ya bidhaa za...
  6. D

    Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

    Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD). Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
  7. T

    Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  8. N

    Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  9. Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

    Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani. "Mimi nimeteuliwa na...
  10. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  11. Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

    Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il. Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
  12. Rais Samia ebu wambie Mawaziri Makamba, Nape, Mwigulu na Dotto ya kuwa wao ni Mawaziri sio Marais watarajiwa. Hii misafara hawana hadhi hiyo

    Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums. Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya online off, kkwa sababu ya maboresho haya. Niende kwenye mada, hivi majuzi Mimi nilikuwa,miongoni mwa...
  13. Hakuna mkoa utaoweza kuja kufikia hadhi ya u-vip kama mkoa wa Zanzibar

    Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao anachaguliwa Dodoma, wanasahau kwamba sharti lazima awe mzanzibari na si Mtanzania bara, hakikisha...
  14. J

    Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali anayoiongoza haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza kwenye utatuzi wa shida za wananchi hapa nchini. Rais Samia ametoa msimamo huo leo Ijumaa Agosti 5, 2022 akiwa Mbalizi mkoani Mbeya baada ya...
  15. S

    SoC02 Elimu nchini Tanzania

    ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi...
  16. Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

    Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa. Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi...
  17. Staki Kuamini App ya Mwananchi Yanga Inamilikiwa na Yanga

    Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga. Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club Kubwa na Kongwe hapa barani Africa Yanga ni Club Kubwa na Kogwe lazima Mambo yake, Miundo mbinu...
  18. R

    Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  19. Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  20. T

    Wito: Mamlaka ya Nidhamu ya Kenani Kihongosi ipeni hadhi UVCCM juu ya suala lake la ufisadi, ni doa sugu.

    Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo kwa nafasi yake ni Kama anahudumu kwa nafasi zote za juu za UVCCM hivyo suala la kinidhamu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…