Kujamiina (sex) ilikuaje ukapata Hadhi hivi

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,210
Yaan hata uwe Brigedia sijui Jaji Mkuu wa dunia. Linapokuja suala la kujaamiiana Lazima uwe mpole na kufuata PROTOCOLS zote 7 sawa Bodaboda,masela jobless kijiweni au konda tu
NB: Siku ya UTELEZI duniani
 

Attachments

  • 346730951a2f43a3a303e2c325f936ab.jpg
    346730951a2f43a3a303e2c325f936ab.jpg
    118 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1671425687020.jpg
    FB_IMG_1671425687020.jpg
    46.3 KB · Views: 6
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    29.4 KB · Views: 6
Hata Mimi namuona huyu Jamaa Ni mjinga Sana , binafsi Mimi kujamiana Hilo Jambo nalichukulia Kama Uchafu kwa imani yangu gheto langu haruhusiwi kuingia mgeni wa Kike

Safi sana

Sasa ikitokea kaja gafla inakuwaje?
 
U
Utamu unao wewe mwenyewe.
Lile joto ni mavi tu.
Anayebisha amwambie mke/mpenzi wake akanye halafu wadanye jimai kama atasikia joto
Nashangaa Mtu anaposema utamu ,wakati utamu Mtu anao mwenyewe nafikiri nchi zetu za Dunia ya tatu hazina watu wenye IQ kubwa Kama yako that way kwao ngono ni hitaji la muhimu.
 
U

Nashangaa Mtu anaposema utamu ,wakati utamu Mtu anao mwenyewe nafikiri nchi zetu za Dunia ya tatu hazina watu wenye IQ kubwa Kama yako that way kwao ngono ni hitaji la muhimu.

et utamu ano mwenye jama wwewe
 
1. Wakuu hivi hili Jambo la kujaamiiana mbona kama ndio linaendesha dunia nzima? Vita, mikutano, makongamano, biashara zote bila jamiiana ni bure.

2. Yaan hata uwe Brigedia sijui Jaji Mkuu wa dunia. Linapokuja suala la kujaamiiana Lazima uwe mpole na kufuata protocols zote kama Bodaboda tu
Siyo kila tendo la sex lazima mhusika likuchanganye bhana.

Sex inayotekelezwa kiharamu ndiyo sex bora na yenye msisimko thabiti kuliko sex halali.

Sex inayotolewa kama hongo(rushwa), inayotolewa kwa ajili ya kufutia deni, inayotolewa kwa ajili ya kulipiza kisasi na inayotolewa kwa ajili ya upatanisho ni tamu sana kuzidi hizi mnazozipata kwa kulala na wake zenu.
 
Una shida wewe.

Bila uchafu ungezaliwa wewe.

Tena ukute umezaliwa kwa staili ya kifo cha mende.
Mimi ni mtu special Mungu kaniumba hivyo na kanipa Imani thabiti kuwa nikae mbali na Uchafu wa Ngono Maisha yangu yote now napambana niache Legacy tu kama anavyonipa wito.
 
Back
Top Bottom