hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Si Cadillac tu, hata Bugatti, Ferrari na Lamborghini nazo ni Uber Marekani

    Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani. Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru. Hili...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

    Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo. Baadhi ya majina hayo ni pamoja na: 1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa...
Back
Top Bottom