hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  2. Traxtion

    Waislamu tisa waliokula mchana hadharani wakamatwa Nigeria

    #HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani. Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Polisi ataka kumpasua RPC wa Pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia

    Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia. Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo. Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria...
  4. H

    Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  5. M

    Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  6. Nyankurungu2020

    Msukuma na Mwenzake waliopogana hadharani wapelekwe mahakamani. Kama kweli sheria ni msumeno

    Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani. Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
  7. M

    Ni sawa mtu kujitapa hadharani vitu alivyonavyo ambavyo wegine hawana ni kwa sababu yeye kabarikiwa ?

    Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
  8. R

    Utawala uliofitinika, wabunge wa darasa la Saba wanapigana hadharani. Muhogo ni muhogo tu hata ukautia nazi, utabaki Muhogo

    Like mother like son, wanapigana hadharani kama wameelaaniwa. Na bado wataendelea kuwa maofisa wa Umma!
  9. tpaul

    Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
  10. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  11. funaku

    Wakatoliki wa kweli hawaropoki hadharani wanatenda kwa Sala!

    Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa. Wote waliofanya hivyo nina...
  12. D

    Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  13. The Burning Spear

    Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
  14. figganigga

    PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

    Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya...
  15. Mlalamikaji daily

    Makonda ni kiongozi anayekuvunja miguu gizani halafu anakuletea magongo hadharani

    Hivyo ndivyo Makonda alivyo.. Hana huo uzalendo wa hivyo. Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari.. Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
  16. Criss

    Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

    Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma. Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
  17. PAYE

    Video: Mama huyu apigwa hadharani baada ya kugombania eneo la biashara na kudaiwa alipe fidia

    Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu. Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
  18. figganigga

    CCM tokeni hadharani Mlaani kauli ya Kapteni Tesha

    Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
  19. M

    Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  20. Nyankurungu2020

    Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
Back
Top Bottom