habari

  1. JamiiForums Tanzania Watu, hasa waandishi wa habari huwa wanachanganya maneno 'muhanga' na 'mwathirika'. Twende kazi!

    1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k. Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano. 2. Mwathirika. Huyu ni mtu aliyepata madhara, maumivu au hasara...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  4. JamiiForums Tanzania Nilipoona mji mweupe D9 nikasema CHADEMA imekwisha habari yake

    Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono. Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

    Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania. Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika. Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  7. JamiiForums Tanzania Habari za JWTZ Kuna muda zinachekesha

    Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
  8. JamiiForums Tanzania Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

    Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

    Ina maana this is not great news? Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu. Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
  11. JamiiForums Tanzania Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

    bila private network inakuwa hivi huwezi kuperuzi
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  13. JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Msiogopeshe watu acheni wafunguke, tumezika watu huwezi kuzungumzia habari za mwendokasi

    Serikali ya CCM inatakiwa ijue kusoma alama za nyakati vyema hatupo enzi za Nyerere, kama ni kuua raia ndiyo njia ya kuzima sauti za wananchi basi wateketeze taifa lote kwa petroli Washauri wa Samia mwambieni ukweli yanayoendelea huku nje maana hata kwa hotuba zake zinaonyesha dhahiri hana...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  16. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

    Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

    In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found. Geolocated videos from the scenes, audio...
  18. JamiiForums Tanzania Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni kama anatoa shule ya kuripoti habari isiyokuwa na upendeleo huku akizidi kujipatia umaarufu Tanzania

    Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Waandi wa habari wa Tanzania

    Wakuu haki na amani iwe kwenu. Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na lawama kwa waandishi wa habari wa Tanzania baada watu kuona kuwa wanaripoti habari zenye mwelekeo moja wa kuitetea serikali na kunyamazia habari zote zinazokosoa au zenye tafsiri hasi kwa serikali. Habari za kiuchunguzi dhidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…