habari

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

    Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  3. JamiiForums Tanzania Inakuwaje kwa chombo Cha habari kinachojiita super brand kufanyia ujinga huu

    Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukimya wa Vyombo vya Habari Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, nini chanzo?

    Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa, mkazi wa Dar es salaam huu haukuwa uzembe wa kawaida wa vyombo vya habari, bali ni usalitiwa wazi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  6. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari amnunulia dawati mwanaye baada ya kuona wanafunzi wanakaa chini katika shule ya Msingi Mwilamvya

    Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa. Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  9. JamiiForums Tanzania Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
  12. JamiiForums Tanzania Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi tumeshachoka kuvurugwa, kaeni myamalize, habari za huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile tumezichoka

    Ifike mahali kelele za kila siku ziishe Too much is harmful Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu Mkisema nchi itulie basi itatulia Mkisema iwake basi itawaka Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Dagaa na Bamia ni pishi letu la leo

  15. JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu vijana hasa kanda ya Kaskazini. Nini suluhisho?

    Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ? Au ndio wameshindwa kuzimudu ? Viongozi wa Dini zote wamesema...
  16. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  20. JamiiForums Tanzania Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…