habari

  1. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  4. JamiiForums Tanzania Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

    Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege...
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoom Tanzania wizara ya habari na mawasiliano muumulike

    Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
  13. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Urusi, Ukraine yaanza, waandishi wa habari watolewa ukumbini

    Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje. Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
  14. JamiiForums Tanzania PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

    Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze. 👆🏾 Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo. 👆🏾 Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine. 👆🏾 Wananchi wakipiga...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  16. JamiiForums Tanzania Nape: Sheria ya Habari inalenga kufungia mtu na sio chombo cha habari

    "Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna maneno mengi lakini tukifika hapo pakutoa leseni maana yake tuna uwezo wa kuichukua leseni yetu kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  18. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Sheria Kandamizi: Rais Samia asema Serikali ipo tayari kupokea Mapendekezo kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Habari

    Picha: Rais Samia akihojiwa na DW Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu zinavyoelekeza, Rais Samia amesema Vyombo vya Habari vitafanya kazi kwa Mujibu wa Sheria Katika...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars

    Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…