habari

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kazi yoyote ya kufanya ili niweze kupata angalau pesa ya kuanzia ukurasa wa maisha yangu

    Natafuta Nazi yoyote ya halali nipo dar.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta restaurant ya Kiswahili, London

    Natafuta restaurant ya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu moja moja. Ahsanteni saaana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

    Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

    Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa makonde ya kutosha mpaka ikabidi refa amalize pambano, Kwa kuhitimisha ni Kwamba Israel hamuwezi Alex...
  5. JamiiForums Tanzania RPC Rukwa: Vitendo vya ulawiti vinashamiri, vikemewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limewataka wananachi kukemea na kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya Ulawaiti ambavyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku na kuwasababishia watoto madhara makubwa ya kiafya hali itakayosaidia kulinda Afya za watoto na kukuza maadili kwa jamii. Baadhi ya waumini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  7. JamiiForums Tanzania DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  8. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Mrejesho Ziara ya Rais Samia Nchini China na Misri

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari Ikulu jijini Dares Salaam leo Tarehe 12 Novemba, 2022 ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA POLE ZA AJALI YA PRECISION AIR Ningependa tu kwa niaba ya Rais kutoa pole kwa wafiwa wote wa ajali ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Zijue special programs zinazopatikana kwenye toleo la camon 19 tu

    UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19 Phone Cloner Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
  10. JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

    Katika watu wajinga, nafikiri wanaoamini habari za kichawi wanaongoza. Nimekuja kugundua kuwa mambo mengi yanayoaminika kutokana na uchawi, yanaaminika hivyo sababu ya watu kuwa wajinga. Nitoe mifano. 1. Kuna mtu alikuwa anapata kinyesi cheusi. sasa sababu ya ujinga akawa anaamini amerogwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

    Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

    Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba. Huu sio uungwana. Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga au Simba Hadi inakiiera.. unamuuliza. Je wanao watakuja kudai kiinua mgongo hapa? Je unapata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania BoT, toeni matangazo kupitia vyombo vya habari kukumbusha kuwa kufanya biashara ya kukopesha mitaani bila leseni ni kosa la jinai

    Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake. Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya kujitolea nitashukuru .
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

    Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff. Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi. Kifo chake...
  17. JamiiForums Tanzania TECNO tumekuletea muonekano wa kipekee wa simu yetu ya mtiririko wa CAMON 19 PRO

    TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania KUMRADHI: Mkutano wa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Shaka Hamdu Shaka na Waandishi wa Habari umeahirishwa

  20. JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria ya COSTECH inaweza kuathiri hata wanahabari

    Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa. Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…