Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano.
Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini.
Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida.
Ila pia inanifanya nifikiri kuhusu familia, malezi, tamaduni na utandawzi.
Kweli zama zimebadilika.