habari

  1. JamiiForums Tanzania Habari ni jumbe nimepata kutoka google nataka kufafanuliwa kwa wataalam wa izi mambo

    Google You've closed your Google payments profile Hello from Google, You recently closed your Google payments profile. You'll still be responsible for outstanding balances. Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
  2. G

    JamiiForums Tanzania ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

    Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
  3. JamiiForums Tanzania Trump kulipwa bilioni 37 na kituo Cha TV Cha ABC kwa kumchafulia jina

    Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
  4. JamiiForums Tanzania Habari wana Jamii forum, kuna swali hapa na zawadi itatolewa kwa atakaepata 👇🏾

    In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows: | Aspect | Very Satisfied | Satisfied | Neutral | Dissatisfied | Very Dissatisfied |...
  5. JamiiForums Tanzania Habari Njema: TRC wanapanga kuweka injini za Diesel kuimarisha huduma

    Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  9. JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao sijawazaa moyo unakuwa mzito

    Habari kaka Magical power, nina umri wa miaka 33 Nina Mtoto mmoja, sielewi Mimi ni single au nijiteje kuna jamaa ambaye tumetokea kupendana kwa miezi nane sasa, ila tatizo nikuwa aliachana na mke wake na ana watoto watatu na huyu ex wake. Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufanya mkutano na waandishi wa habari 12 Desemba 2024

    Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari. Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae. Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao. Update Ukumbi ni Mlimani City Muda ni saa 5 asubuhi Gharama za event zimetokana michango ya diaspora, sauti ya watanzania group na...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Habari zilizotrend kwa mwaka 2024

    10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4. Kifo cha mzee Kibao 3. DP world kuanza operation Tanzania 2...
  14. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  15. JamiiForums Tanzania Kila Wizara/Idara iandae documentary ya mambo inayoshughulikia tangu uhuru, kisha iwasilishwe kwa vyombo vyote vya habari

    Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi (hasa TBC na Idara ya Habari Maelezo) wamezihodhi, na hawataki jamii izifikie. Kama nchi tunahitaji...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25 Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaosombaza habari za watu maarufu kubadili dini na kusilimu huwa wanalenga nini hasa?

    Si vyema kuwa na mahaba na dini yako mpaka unapitiliza mipaka ya utimamu wa kawaida wa akili(common sense) na kugeuka kituko. Naona mitandaoni baadhi ya watu wanakazana kusambaza taarifa ya Kim Kiduku wa Korea Kusini kusilimu na kuwa muislamu, kwanza kwa kiasi kikubwa taarifa hii inaonekana ni...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo club za tanzania zina machawa sio maafsa habari waliochangamka!

    Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu...
  20. JamiiForums Tanzania We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms

    1. We live in times where we see many humans, but not humanity. 2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms. 3. We live in times where smart phones bring you closer to those who are far, but distance you from those who are closer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…