habari

  1. JamiiForums Tanzania Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

    Niki Rejea katika mstari wa biblia. Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo) Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu Swali langu ni hili Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu? ishara zake ni zipi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  5. JamiiForums Tanzania Huko Jamhuri ya Watu wa X (Twitter) habari ya mjini ni " ka Omari"

    Kuna Dada mmoja anamporomoshea kashfa na kejeli za kila namna mume wake wa zamani, akimwita ka Omari. Mbaya zaidi huyo ka Omari kakaa kimya, hajibu chochote
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
  7. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  9. JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchome ahofia nia ovu Chadema

    Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika Ameandika ktk X yake
  11. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

    HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua. Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini. Upungufu wake wa chembe...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi habari zimenishangaza sana sikuwa nafahamu jambo hili

    ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

    Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
  16. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  18. JamiiForums Tanzania Habari hii inafurahisha! Putin yuko tayari kuongea na Rais wa Ukraine

    Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi. Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita. Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
  19. JamiiForums Tanzania Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Msigwa amesema Tanzania inaongoza Afrika katika kuzalisha umeme

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…