habari

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana JF, mimi ni member mpya

    Hodi hodi wana Jf, mimi ni member mpya katika jukwaa hili naombeni mnipokee. Mimi ni mfanya biashara ninayejihusisha na; Kuuza na kufunga CCTV CAMERA. Asanteni.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
  3. JamiiForums Tanzania Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa Down hakuna mwenye habari na wewe. Ukifanikiwa hata wale waliokudharau watajifanya wanakujua. Kata shingo wapite hivi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wakati upo down hakuna anayetaka kujihusisha na wewe isipokuwa watu Wachache Sana ambao ni wenye upendo wa KWELI kwako. Hawataki kujihusisha na familia yenu. Na pengine hawataki watu wajue ninyi ni ndugu kwa Sababu ya Hali yako ngumu. Kwenye magrupu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
  7. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani, Machi 16, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Oasgj4g9Yvc Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na Waandishi wa Habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, Mkoani Pwani Akizungumzia miradi iliyosajiliwa kati ya mwaka 2021 Machi hadi Februari 2025...
  10. JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  11. D

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

    Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania?? Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
  12. JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa za kuaminika toka ndani zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

    Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  15. JamiiForums Tanzania TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  16. JamiiForums Tanzania Habari za kununua umeme ETHIOPIA zinafikirisha sana.

    Heshima sana wanajamvi, Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !. Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia. Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...
  17. JamiiForums Tanzania Je una habari pamba jiji fc imewahi kuongoza ligi msimu huu?

    Ndio, ni ligi hiihii ya futbol kwa mwaka 2024/2025. Najua wazee wa ligi watabisha. Lakini ndoivo chukua chuma hicho [kwa sauti ya zomboko].
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

    Niki Rejea katika mstari wa biblia. Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo) Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu Swali langu ni hili Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu? ishara zake ni zipi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…