habari njema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

    Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto...
  2. Blasio Kachuchu

    PigaBet Yampa Thadei Mabawa ya Biashara

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam — Fundi wa mashine za photocopy kutoka Temeke, Mtega Thadei (33), sasa ana matumaini mapya ya kukuza kipato chake baada ya kushinda pikipiki kupitia kampeni ya #ShindaBoda ya PigaBet. Kwa muda mrefu, Thadei alikumbana na changamoto ya usafiri wakati wa kuwafikia...
  3. Equation x

    Huu mchepuko umenipa habari njema

    Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana. Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha...
  4. Registered_jf

    Mbona hii ni habari njema! !

    Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo. Akisema ni kweli, namuambia haya nenda...
  5. Seth saint

    Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

    Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Sio mwandishi mzuri, lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako. Mwaka 2016, nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM (sitaeleza mengi kuokoa muda na usomaji pia). Nilipata habari ambayo binafsi, mwanzo...
  6. Carlos The Jackal

    Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  7. N

    Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  8. Dr Luu

    Ukweli kuhusu kuboresha maumbile ya kiume: habari njema, mbaya & mstari mwembamba

    Wanaume wengi hutamani kuongeza ukubwa wa uume, lakini ni muhimu kutofautisha ukweli, utapeli na mbinu salama. Nb: Hapa tunazungumzia kunenepesha (kibamia - neno la mtaani) sio stamina 🔥, pre- ejaculation au sterm count. ✅ Habari Njema Asili inasaidia: mitishamba kama ginseng, tongkat ali...
  9. M

    Nauza ultrapods

    karibu ujipatie ULTRAPODS MAX wireless 5.3 IP4 waterproff 95 LED Digital Display Noise cancelling Hi-Res High Quality Sound inarangi 4 blue,pink,white and black BEI TSH 20000/= TU huduma ya delivery inapatikana nchi nzima kwa mawasiliano tupigie 0629535915
  10. Echolima1

    Donald Trump: Tuna habari njema Gaza

    Rais wa Marekani Donald Trump kasema kuna habari njema huko Gaza! Julai 16, 2025 Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza bila kufafanua kuwa “kuna habari njema kuhusu Gaza” katika hafla ya Ikulu ya White House Mjumbe maalum wa Marekani kwa Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amesema mazungumzo...
  11. Just Pray

    Askofu Musomba: Hatuwezi kuhubiri injili pale ambapo haki haitendeki, Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka

    "Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka." Mhashamu Stephano Lameck Musomba, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
  12. Maganjila tz

    Najenga mashimo ya choo ya kisasa yasio jaa walakutoa halufu kali Pia tunatoa ushaui

  13. Imani rubaba

    Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Natangaza Habari Njema kwa Watanzania Wote

    Ndugu Watanzania wenzangu, Leo nasimama mbele yenu kwa moyo wa shukrani, upendo na tumaini kuu, nikitangaza Habari Njema si habari ya siasa, biashara, wala maendeleo ya kidunia, bali habari ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai, ambaye alikuja duniani kwa ajili yetu sote maskini kwa...
  15. chiembe

    DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  16. Amba Samedi

    Habari Njema: TRC wanapanga kuweka injini za Diesel kuimarisha huduma

    Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
  17. kengele maziwa

    Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote. kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA . Miaka flani muda kidogo nilishawahi kuwa na mpenzi ambaye akapata mimba japo sikuihitajia kwa kipindi kile...
  18. Makirita Amani

    Habari Njema: Nafasi ya kupata semina kwa njia ya mtandao

    Rafiki yangu mpendwa, Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni semina inayokwenda kukujengea ujuzi wa aina tatu; KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha ili kuwa na maisha huru. Semina hii inafanyika tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel Dar...
  19. State Propaganda

    Habari njema: Venezuela yaalikwa mkutano ujao wa BRICS+

    Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu. Mualiko huu unaweza...
  20. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
Back
Top Bottom