Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo?
Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue...