group

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzanian billionaire Edha Nahdi's Amsons Group is in advanced talks to acquire Oryx Energies for $250 million

    Tanzania's Amsons Group is in advanced negotiations to acquire Oryx Energies in a deal estimated at $250 million, according to sources familiar with the matter, in a transaction that would hand the Tanzanian conglomerate control of one of East Africa's most strategically positioned energy...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania inahusishwa kuinunua Oryx kwa Dola Milioni 250

    Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

    Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo. Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ninavyoweza kuwapa makundi wana JF

    😡SADISTS hawa wana msongo kutokana na mambo mengi hayajitiki, muda umewatupa mkono au juhudi zao haziendani na matunda yao. Kwao comments zao dakika 2 tu matusi hayo. 😶INTROVERTS AMBAO WAKIINGIA JF WANAKUWA EXTROVERT. hawa kila kitu humu wanachukulia personal sana lakini pia ni watu wa kupost...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uchwara Media Group: Kuzinduliwa Very Soon

    Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio. Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote wanaojitafuta kuweza kuandaa na kurusha contents zao na kwenda viral kwenye mitandao ya jamii ikiwemo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania 💼 OTZ Solution Group: Supplier wa Resin & Hardener Dar es Salaam

    🚨 OTZ SOLUTION GROUP 🚨 Unatafuta bidhaa bora za Fiberglass kwa bei nafuu na uhakika? Sisi OTZ Solution Group tunakuletea suluhisho kamili kwa kazi zako zote za resin. 🔹 Tunauza: Resin (quality ya juu) Hardener Fiberglass Mat (Matt) Vifaa vingine vinavyohusiana na fiberglass ✅ Inafaa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

    Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia kufilisiwa kwa Sahara Media Group, na hatma ya RFA, Star TV na Kiss FM

    Taarifa kuhusu mchakato wa kufilisishwa kwa kampuni ya Sahara Media Group imeendelea kuvutia mjadala mpana hasa kwenye mitandao ya kijamii, huku wadau wengi wakibaki na maswali, pengine hata yasiyo na majibu ya moja kwa moja. Kwa mujibu wa taarifa zinazoendelea kufuatiliwa kwa kina, imeelezwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz anunua kampuni ya Nation Media Group ya Kenya

    Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa Ltd, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi. Azizi ana uwekezaji mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  13. JamiiForums Tanzania Chevrons Keep Flying: Unbeaten in T20 World Cup Group B!

    The Zimbabwean Chevrons remain unbeaten in Group B at the #T20WorldCup, showcasing grit, skill, and determination in every match. Fans are celebrating as the team continues its march toward the Super Eights! 🏏🔥
  14. JamiiForums Tanzania Ramani Bure .... Karibuni kwenye group letu la Ujenzi Ramani Bure

    🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA! Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi. 🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU: Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
  15. JamiiForums Tanzania GYGA LIGHTING GROUP

    Tunaiza taa za aina zote kwa ajiri ya kupendezesha nyumba au fensi ya nyomba yako tunauza kwa pis Tano na kuendelea tupigie simu namba ni 0672266912
  16. JamiiForums Tanzania Sifa za watu wenye Group 'O' Ia damu

    Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu hawa mambo ya uongo na kuwachukia bila sababu za msingi hasa baada ya kushindwa kuwaangusha. Wanapenda...
  17. JamiiForums Tanzania Driver at Beauty Group January 2026

    Job Announcement: Driver (Contract Position) Location Dar es Salaam Salary TZS 300,000 Employment type Contract Job summary The Driver will be responsible for safely transporting staff, goods, and documents to designated locations. The role also includes ensuring that the company vehicle...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  19. G

    JamiiForums Tanzania Burna Boy and Sporty Group unveils new single "For Everybody".

    Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent. January 17...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Burna Boy and Sporty Group unveil new single "For Everybody"

    Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent. January 17...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…