Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme.
Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
Wilaya za Kakonko, Kibondo, Kasulu na Buhigwe mkoani Kigoma hazina huduma ya umeme, baada ya watu wasiojulikana kufanya hujuma katika miundombinu ya umeme kwenye kijiji cha Itumbiko wilayani Kakonko.
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Kigoma Mhandisi Jafari Mpina amesema...
Bila shaka Kazi inaendelea..
Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati.
Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa.
Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just.
Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.