google

  1. W

    Unafahamu kuwa Google imerekodi kila safari yako bila wewe kujua?

    Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android zinatuma taarifa zako mara 20 zaidi kwenda Google ukilinganisha na jinsi iPhone inavyotuma kwenda Apple...
  2. O

    KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  3. Ritz

    Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  4. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  5. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  6. Traxtion

    Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    Watumiaji wa Google wataweza kubadili email zao za @gmail.com kwa urahisi

    Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi. Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026 japo Kwa sasa umeanza nchini India ambapo wataweza kurekebisha email zao kwa urahisi tuchukulie barua...
  8. Fbn

    GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

    Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi. Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana. Najua sana sana mwisho wa mwezi dec...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗶𝗻𝗮𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗱𝗵𝗮𝗿𝘂𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  10. Fbn

    Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  11. Agent-47

    PostGE2025 Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii

    Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
  12. wa stendi

    Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  13. Mhaya

    Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  14. STUKA M1

    App nzuri ya ku-record calling kwa Google pixels.

    Wakuu.. Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules) Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
  15. Mad Max

    Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  16. mkadiriajimajenzi

    Used Google Pixel 9 (128GB)

    used Google Pixel 9 (128GB) njoo na offer yako PM
  17. Mkalukungone Mwamba

    Google Yaonya Watumiaji wa Gmail Kuhusu Mashambulizi ya Wadukuzi

    Kampuni ya Google imewataka watumaji wa huduma ya baruapepe ya mtandao ya Gmail kuwa makini kwani kuna kundi la wadukuzi wanaozilenga akaunti hizo baada ya kufanikiwa kuiba taarifa. Google imesema watumiaji wa huduma hiyo wanaofika zaidi ya bilioni mbili duniani kote wasijibu ujumbe...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 𝗻𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗻𝗮𝗻𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗰𝗮𝗹𝗹

    Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android. Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios 26 , lakini mpaka leo 😌 mtumiaji wa simu ya iphone akipigiwa simu hakuna sehemu ya kukata 😁 au...
  19. Tech Max

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
  20. Mad Max

    Wazee wa Pixel: Google wamezindua Pixel 10 Series!

    Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025. Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na Pixel 10 Pro Fold. Mbali na simu, Google wamezindua pia Pixel Watch 4 Smartwatch na Bud 2a earpods...
Back
Top Bottom