goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, hizi goli Tano Tano za Yanga ✋ Zina reflect vipi ligi yetu?

    Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu zilizochezea ✋ Kwa Yanga Simba Kmc Ihefu Je unadhani hivi vichapo vinaashiria Nini kwenye ligi yetu?? Hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  3. JamiiForums Tanzania Kocha Nabii aipongeza Yanga kwa kumfunga Simba Goli Tano

    "Nafurahi sana kusikia Yanga SC inafanya vizuri, hiyo ni familia yangu, sijaondoka kwa ubaya Yanga, ni familia ambayo niliachana nayo kwa muda huku nikiwa na huzuni kubwa moyoni" "Nafurahi kuona mambo yanaendelea vizuri hapo Yanga, hata walipowafunga Simba mabao (5) nilikuwa na furaha kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  5. JamiiForums Tanzania Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

    Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile. Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
  6. JamiiForums Tanzania Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

    Simba kuwapa watu dozi nzito ni kawaida yake, kama kuna timu yeyeto hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita upite mbele.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kufunga goli la nne, Msemaji wao Ally Kamwe azimia uwanjani; Apelekwa Hospitalini

  8. JamiiForums Tanzania Dozi ya Goli 5 za Yanga ni kama keki ya Birthday,kila mualikwa lazima aonje

    Kwa wale wote waliwahi kuzionja goli 5 kutoka kwa Young Africans bila shaka watakuwa wanauelewa utamu wake namna ulivyo! Kama ulikula keki vipande 5 na bado hukuridhika,basi usiwe na shaka wewe jiandae na Birthday nyingine lazima utakula na utashiba! Kazi ya Yanga ni kuhakikisha kila mualikwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Simba na Yanga kuwa goli la Mama bado lipo palepale

    Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA), amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuungana pamoja katika kuziombea timu zao kuelekea mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Pia MwanaFA amesema kuwa goli la Mama bado lipo palepale. Simba itacheza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Anaetoa assist ya goli na mfungaji, yupi hufanya kazi kubwa?

    Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji. Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

    Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa? Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ni nani amefunga goli Merseyside Derby, El Classico & Manchester Derby?

    Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania. Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

    Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba ujue kuna limkono la mtu! The 🛑 🦁🦁🦁🦁🦁 #Nguvu Moya!
  15. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  16. JamiiForums Tanzania Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

    Wanajamii naombeni sababu za kitaalamu zilizofanya goli la Azam kutokuwa offside. Kwakuwa marejeo ya video yanaonyesha kabisa aliefunga goli alizidi.
  17. JamiiForums Tanzania Sinema: Onana akipiga goli kama Christiano Ronaldo

    https://youtu.be/8irfsqXvYXw?si=zl4iDwIz-hgBriu6 Kapiga goli la kuchekesha 😀😀😀😀 Kwanza alitaka kupiga chenga kama Ronaldo, akafanyiwa faulo. Kisha akapiga goli kama Ronaldo My Take Huu mgoli ingekuwa ni pisi ingeinjoi sana
  18. JamiiForums Tanzania Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

    Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Simba 0 - 4 Young Africans (U20) Shekhan afunga goli matata!

    Huyu dogo ni hatari! https://m.youtube.com/watch?v=g60FXyTJGWI
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali) Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…