Tafadhali Singida msiruhusu goli 5 kwenye mechi yenu ya leo

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Kauli ya mashabiki wa Yanga ikiwaelekea SINGIDA BIG STARS ikisema " Tafadhali Singida msuruhusu goli 5 kwenye Mechi ya leo"

Niwazi kuwa Mashabiki wa Yanga wanataka ushindi wao wa Goli 5 uzidi kuchukua Headlines.

"Mashabiki wasimba wanasema " Hii mechi ya leo ni salamu kwa Al A....."

Matambo ya ligi ya ndani NBC, kwa sasa imeamia kwenye Draw ya CAF.

Hivi kati ya Yanga na Simba nani mwenye possibility ya kuvuka kwenda Nusu fainali?!

Wamakonde wanasema , ukiamka
IMG-20240312-WA0073.jpg
Nchale, Ukilala Nchale...😂
 
Hii Simba ni mbovu zaidi ya neno lenyewe mbovu.
Kiungo Cha ulinzi shida, beki za kati shida mbele tiamajitiamaji.
Mashabiki mna kazi kubwa ya kutetea timu yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom