godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Godbless Lema amechapisha kwenye mtandao wa X kuwa CHAUMMA inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani

  2. kidonto

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema fungua Kesi ya kudai Fidia, kuna Bilioni 3 za wazi

    Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti. Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde. Nadhani utakua umeiona Wafungulie...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Godbless Lema ametakiwa kuripoti katika ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu kwa ajili ya mahojiano zaidi

    Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha umma kuwa leo tarehe 6 Juni, 2025 katika kituo cha uhamiaji cha mpaka wa Namanga Mkoani Arusha, ndugu Godbless Jonathan Lema alizuiliwa kutoka nchini na pasipoti yake ya kusafiria kushikiliwa. Sambamba na zuio hilo, ndugu Lema ametakiwa kuripoti katika ofisi...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamwaga machozi mahakamani baada ya kumuona Lissu akisimama kizimbani

    Wakuu, Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema 'Lema matatani kwa kupanga njama za kumuua Mrema'

  7. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Nondo za Godbless Lema akiwa Bariadi Simiyu

    https://youtu.be/Um8sc9LW6bs?si=YZuMeOBmA6cRHtUj
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nyie wananchi ndiyo chanzo cha maisha kuwa magumu

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii Hapa ni Nukuu ya Godbless Lema aliyoitoa huko Bukoba Mjini, Hakika huyu jamaa ni Mtu wa Mungu

    Hebu soma haya madini aliyoyatoa jukwaani.
  10. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi ameandika kwenye ukurasa wake wa x kuwa Godbless Lema apokea bilioni 4 kuisambaratisha Chadema

    MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA. "🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo na ITV wamechapisha kuwa Lema, Maria wapanga maandamano na kuwatumia GenZ kuchoma moto vituo vya polisi

  12. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema adai amepewa taarifa kuwa anatakiwa kuuliwa

    Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka: "Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti...
  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kuwatetea Masheikh waliofungwa isiwe nongwa na chama chako utake uungwe mkono kwenye ajenda yenu

    Friends and our Enemies, God bless lema na CHAMA chake wamekuwa hodari sana kuwanga waislam kwa kusema eti wamekuwa baridi Kila awamu ambapo Rais amekuwa ni muislam hata kama Rais huyo anafanya makosa. Lema na CHAMA chake wanatakiwa watambue kuwa sisi waislam ni watu wa haki,na siku zote...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano

    Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano Soma: Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu John Heche akamatwa na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema yuko wapi? Tokea Lissu akamatwe yupo kimya

    Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema acha mara moja kuingilia uhuru wa Vyombo vya Habari, huo udikteta uchwara uishie CHADEMA

    Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema. Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha. Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Polisi mna hali mbaya, mshahara wa Polisi wa miaka 50, sawa na posho na mshahara wa Mbunge miezi 6

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao. Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne...
Back
Top Bottom