godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Lema ataja sababu yakufuta 'Tweet' yake aliyopendekeza kuwa Mbowe anunuliwe gari kama zawadi ya kumuaga

    Mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza. Soma: Lema...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambapo pamoja na zawadi nyingine amesema wanaweza kumtafutia Land Cruiser 200...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio anayeratibu watu wa kufukuzwa CHADEMA

    Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani nao moja kwa moja yeye mwenyewe. Lema ametoa msimamo kwa mwenyekiti mpya kwamba kama wanataka...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu wizi wa kura, Godbless Lema aipa onyo hili CCM kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu, Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM. Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura. Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA. "Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast. Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika. https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-kutikisa-power-breakfast.2192804/
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lissu acha Utani, tunataka kumuona Lema akiwa na nafasi ya maana hapo CHADEMA

    Ndugu Lissu. Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA. Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu. Mtafutie huyu mtu...
  9. Man fila ndu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, Godbless Lema, Godbless Lema

    Godbless Lema nimekwita mara 3 kwa herufi kubwa (X3). Baba yako sio mjinga kukupa hilo jina na sio kama majina mengine hakuyaona. Najua sasa hivi unamuonea huruma kaka yako Mboe lakini, ulimwambia na shingo akaishupaza. Ukanawa mikono. Ni heri ya lawama na kutukanwa kwa kuisimamia kweli na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tutakosea sana kama hatutampongeza Godbless Lema kwa msimamo na kazi nzuri aliyofanya uchaguzi CHADEMA

    Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana . Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali. Soma: Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu Boniface Jacob maarufu Boni Yai, ambaye alikuwa wakala wa mgombea...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Lema, Boni Yai wakigonga tano kwa furaha kwenye mkutano mkuu CHADEMA

    Wakuu Kitaalam tunaiitaje hii? Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na wenzake anacheza michezo ya siasa za enzi za Lowassa wa Richmond?

    Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini? Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Lissu kutachangiwa pakubwa na mikutano ya wiki nzima isiyokuwa na maana ya Godbless Lema

    Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa chadema Taifa, Ispokua zinasaidi pakubwa, kummpambanua Lema mwenyewe ni mtu wa aina gani. Kwasababu ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

    Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Lema: Unazuia impression ya wanachama wako kuja katika maeneo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama? Hadi unaweka walinzi binafsi?

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Lema ameonesha kushangazwa na mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika kesho, Jumanne, Januari 21, 2025. "Unazuia impression ya wanachama wako kuja katika maeneo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama? Hadi unaweka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

    Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ataongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa...
Back
Top Bottom