ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  2. JamiiForums Tanzania Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

    Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani. Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi. Vita ambavyo vimekuwa vigumu kusimamishwa ni vile kati ya Israel na wapalestina...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu binti ali drop kali ya mji moja hivi alafu ghafla akapotea tena bila kuonekana

    Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
  5. JamiiForums Tanzania Taharuki yazuka Geita mti ulioanguka wasimama tena ghafla

    Zaidi ya Wakazi 1,000 wa Mtaa wa Mpomvu, Kata ya Mtakuja, katika Manispaa ya Geita wamekusanyika kushuhudia tukio la kushangaza baada ya mti ulioangushwa na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa kusimama tena asubuhi iliyofuata. Tukio hilo limezua gumzo kubwa na hisia tofauti miongoni mwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

    Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili. Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo? Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo. Hatuombei mambo haya...
  7. JamiiForums Tanzania ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

    Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
  8. JamiiForums Tanzania Kelele za Kishambenga,nderemo za kishakunaku,Viburi na dharau Uchwara zimepotea ghafla Mujini,Vilio vimeanza upya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane TAHADHARI Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza ! Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

  11. JamiiForums Tanzania Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

    SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huu mkutano wa nishati ulipangwa ghafla?

    Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili?? Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ghafla nimetamani Lissu asishinde Uenyekiti ili agombee Urais wa JMT tena

    Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena. Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

    Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma. Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
  15. JamiiForums Tanzania PC ghafla haiwaki, tatizo linaweza kuwa nini?

    Habarini wakuu, Natumia Laptop HP lakini ghafla tu ukichomeka chaja hairespond chochote wala haiwaki chochote. Tatizo linaweza kua nini hapa?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

    Hii imenitokea mara kadhaa. Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana. Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena. Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

    Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale? Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
  18. JamiiForums Tanzania Ghafla laptop yangu inakataa kufungua website

    Habari wataalamu. Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu. Je nini tatizo? na Suluhisho? Ahsante sana kwa msaada wenu.
  19. JamiiForums Tanzania Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  20. JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…