gesi ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
  2. Hismastersvoice

    Tuondokane na mtindo wa Kununua gesi ya kupikia kama tununuavyo nyama buchani

    Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao.
  3. Getrude Mollel

    Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania. Kauli hii imeibua mjadala, lakini inapochunguzwa kwa makini kwa kutumia takwimu na taarifa rasmi, inabainika kwamba...
  4. Clean Energies Group

    Tahadhari kwa Watumiaji wa Gesi ya Kupikia

    TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA GESI YA KUPIKIA Kama unatumia mtungi wa gesi jikoni, zingatia masharti haya ya usalama: 1. Kagua mara kwa mara Angalia mtungi, bomba (pipe) na jiko lako kila mara. Hakikisha havijachakaa, havijatoboka au kupasuka ili kuepuka uvujaji wa gesi. 2. Burner isiyo chakaa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    TZLPGA yaonya hatari ya kupuliza gesi ya kupikia kupitia kinywa

    TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya.
  6. Yoda

    Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  7. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  8. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni mwendelezo wake wa kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
  9. The Dictator

    Fanya haya kila ununuapo mtungi wa gesi ya kupikia majumbani

    - Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako. * Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C * Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa...
  10. E

    Kwa usalama zaidi. Tunafunga pipelines za Gesi ya kupikia

    Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako. Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu. Gas pipelines installation ni muhimu kwenye nyumba za kuishi, hotelini, maabara za mashuleni, taasisi...
  11. S

    Ushawahi kusikia kampuni inayouza gesi ya kupikia mpaka Tsh. 1000?

    Katika dunia ya leo suala la habari (Information) ni muhimu sana hasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Ukosefu wa habari sahihi juu ya inshu fulani iwe ya kijamii, kisiasa au kiuchumi itakufanya ushindwe kufanya maamuzi sahihi ama itakuwa na athari kwako kwa namna moja ama nyingine. Moja ya...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia tufanye yafutayo haraka. Tutengeneze mpango kabambe wa kuwawezesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa. Tutoe ruzuku kwa ajili ya kupunguza gharama ya majiko ya gesi pamoja na mitungi ya gesi...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

    Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii. Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  16. Ndetirima

    Biashara ya gesi ya matumizi ya kupikia majumbani

    Nauliza kwa anayejua faida ninayoweza kupata kwa kufanya hii biashara na kiasi kizuri cha kuanzia yaani mtaji.
  17. Meneja Wa Makampuni

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme na kwenye gesi ya kupikia

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia. Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi. Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
  18. N

    Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  19. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  20. J

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Back
Top Bottom