gesi asilia

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtemi mpambalioto

    TPDC mnakwamisha Mradi wa Gesi Asilia (CNG) kwa kumkomoa Rais Samia

    Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati

    Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
  3. BARD AI

    Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  4. BARD AI

    TPDC inatarajia kuanza usambazaji wa Gesi asilia nchi nzima

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini. Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
  5. MANKA MUSA

    Ndugu zangu Watanzania tusipitwe na fursa hizi kwenye mradi wa gesi asilia (LNG)

    Tunaweza kuondoka kwenye mfumo wa lawama kwa kuitazama hii fursa. Hii ni ripoti ya uchambuzi wa kiujumla wa kiuchumi uliofanywa na Benki ya Stanbic kuhusiana na mradi wa gesi wa Lindi LNG. Kwanza mradi huu umeonekana kuwa ni fursa nzuri ya kiuchumi na ya kipekee kabisa kuwahi kutokea...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

    Tanza ikadiriwa kuwa na mita trilioni 230 za ujazo za gesi asilia, ingawa zilizothibitishwa mpaka sasa ni futi trilioni 57.5, hivyo kuiweka kwenye ramani ya dunia ikishika nafasi ya 82. Gesi hiyo tayari imeanza kuzalishwa katika visiwa vya Songosongo wilayani Kilwa, mkoani Lindi na eneo la...
  7. R

    SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  8. S

    Ushauri: Serikali iharakishe matumizi ya gesi asilia kama nishati mbadala kwenye mafuta ili kupunguza mfumuko wa bei

    Ukweli ni kwamba, japo bei ya mafuta mwezi huu imetangwaza kushuka, bado wananchi hawataona tofauti ya maana katika bidhaa na wala hakuna uhakika kuwa huko mbeleni mafuta yataendelea kushuka kwani yanaweza kupanda pia. Hivyo, kwakuwa bei ya bidhaa na huduma kwa kiasi kikubwa inachangiwa na bei...
  9. Tukuza hospitality

    SoC02 Uchumi wa Gesi Asilia Umnufaishe kila Mwananchi

    Gesi Asilia ni nini? Kwa mujibu wa tovuti ya “renovablesverdes”, Gesi asilia ni mafuta ambayo, kama makaa ya mawe au mafuta ya petroli, huundwa na hidrokaboni, mchanganyiko wa molekuli zinazoundwa na atomi za kaboni na hidrojeni. Utafiti wa kisasa wa kijiolojia umewezesha kugundua na kutumia...
  10. K

    Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  11. N

    Dondoo za mradi mkubwa wa kuchakata na kusindika gesi asilia - LNG

    Hivi karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini ya makubaliano ya awali ya mkataba wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia na kampuni za Equinor ya Norway na Shell ya Uingereza. Rais Samia amesema mradi huo ni wa kimkakati kwa nchi ambao utakapokamilika...
  12. Rashda Zunde

    Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  13. B

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
  15. K

    Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  16. Replica

    Magari yaliyowekwa mfumo wa gesi asilia(CNG) kutoka Japan yana changamoto yoyote kuyatumia hapa mjini?

    Dizeli oyee, Katika kupambana na bei ya petroli kwenye pitapita nimeona gari zinauzwa zikiwa tayari na mfumo CNG kutoka Japan japo nyingi zinaonekana zinatumika kwa wingi na waitaliano, hizi haziwekwi mtungi ndani, nafikiri unakaa sehemu iliyotakiwa kukaa tank la mafuta. Zina changamoto zozote...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  18. J

    Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

    Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia. Source: BBC
  19. Malaika Mkuu

    Kiwanda kikubwa cha kuchakata gesi asilia kujengwa Lindi

    Kampuni kubwa ya Nishati duniani, Shell, imeeleza kuwa imepiga hatua kubwa katika miezi ya karibuni kwenye majadiliano yake na serikali ya Tanzania kufanikisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata gesi asilia (LNG) mkoani Lindi. Hizo ni habari njema kwa Tanzania ambayo licha ya utajiri...
  20. Naipendatz

    Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
Back
Top Bottom