The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
Habari Tanzania !..
Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?..
Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
Jameni Myahudi amechafukwa, ukizingatia mindege yake inaruka na kupiga popote...
Hakuna aliyejaribu kufuta jamii ya Wayahudi akafanikiwa, hata miungu yote ya awali wakiwemo akina Baal wote walishindwa, maana Jehovah muumba wa vyote ndiye yuko nao....hata mubuni dini yenu leo na kuchukia Israel...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao.
Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia.
Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
Anonymous (6198)
Thread
gesi
lake oil
mabasi
mabasi ya mwendokasi
mchakato
mwendokasi
oil
tenda
vipi
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa.
Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35.
Kwa mkataba huu...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
Ni miezi kazaa SASA tangu promosheni hii ya Gesi yente Kwangua ushinde imepita, ila sikuwa kusikia mtu kashinda hata kikombe, Kwa zile zawadi walizo weka pale kwenye ile sticker .
Je, wakuu kuna yeyote aliyewahi kushinda?
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida.
Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...
Wakuu.
Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama.
Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
Team,
Salaam!
Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=.
Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini
Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI!
Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi!
Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa!
Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.