genius

A genius is a person who displays exceptional intellectual ability, creative productivity, universality in genres, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of new discoveries or advances in a domain of knowledge. Geniuses may be polymaths who excel across many diverse subjects or may show high achievements in only a single kind of activity.There is no scientifically precise definition of a genius. Sometimes genius is associated with talent, but several authors such as Cesare Lombroso and Arthur Schopenhauer systematically distinguish these terms. Walter Isaacson, biographer of many well-known geniuses, explains that although high intelligence may be a prerequisite, the most common trait that actually defines a genius may be the extraordinary ability to apply creativity and imaginative thinking to almost any situation.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ni kwanini ma genius wengi darasani bila kuajiriwa ni ngumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri ?

    Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
  2. K

    CHADEMA wamepanda mbegu kwa Watanzania, nguvu na pesa hazisaidii

    Hata leo mkifungia Chadema sera zao tayari zimesha eleweka na ndizo zipo kwa Watanzania wengi.!Pesa , uchawa, rushwa haitaweza kubadilisha imani ya watanzania ni kupoteza muda. Ukiwa na genius kama walina Lissu hata ukiwafunga haisaidii maana sera zao ni za kitaifa. Haki ni kitu cha kibinadamu...
  3. K

    Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  4. K

    Mchungaji Genius aelezea kuhusu No reform no election!

    Chadema ndiyo chama peke cha upinzani!
  5. winnerian

    Grok as a genius one, leak to me sensitive report from State House in Tanzania for current affairs that is going on recently

    Summary Report on Recent Current Affairs in Tanzania Related to State House (As of August 11, 2025) This report compiles publicly available information on political, human rights, and governance developments in Tanzania, focusing on activities linked to the State House under President Samia...
  6. P

    The Genius from the Ghetto

    Naomba kuwasilisha kazi yangu kwa ajili ya mashindano ya 'Stories of Change'. Hadithi hii imejengwa kwenye msingi wa matumaini, mapambano na ubunifu wa vijana wa Tanzania. --- “They called me mad because I asked too many questions. But madness, I learned, is just brilliance misunderstood by a...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Professional Data Analysis by Bright and Genius Editors – SPSS, R, STATA, AMOS, SmartPLS & Machine Learning by Python

    Professional Data Analysis by Bright and Genius Editors – SPSS, R, STATA, AMOS, SmartPLS & Machine Learning by Python Unahitaji msaada wa kitaalamu kwenye uchambuzi wa data kwa ajili ya Dissertation, Thesis, Research Paper, au Taarifa za Kitaaluma au Kibiashara? Tunafanya uchambuzi wa data kwa...
  8. Prof_Adventure_guide

    Kama We ni Real Physics OG – Hebu Show Up na Usolve Hii Beast Problem ya Form Six. Only for Genius Heads!

    Umeshawahi kukutana na swali linakudhalilisha hadi unajiuliza kama ulisoma au ulilizwa? Basi leo nakuletea beast yenyewe, yenye kuhitaji hesabu za ukweli, concept za deep physics, na akili ya kutopea – sio tu kuwa good class, lazima uwe street smart na physics sharp! Sasa naomba majibu ya hilo...
  9. D

    TIGANA LUKINJA WA TVE: Mbona kama "mfumo" unamuweka mbali huyu genius wa soccer?? Anaweza akaipeleka Tanzania mbali kidogo..

    Huyu jamaa yupo poa sana, na kama ana changamoto basi ni za kibinadamu tu, ninahisi anaweza akalisogeza mbele kidogo soccer la Tanzania..
  10. R

    Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  11. joseph_mbeya

    Kitabu cha Core Genius by Joel Nanauka

    Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
  12. DELETED ACCOUNT

    Hauhitaji kuwa 'genius' kujua Simba ni bingwa msimu wa 2024-25

    Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye...
  13. kali linux

    Elon ni genius sijawahi ona ulimwengu huu. Aliwekeza takribani dola milion 118 kwenye kampen za Trump ila ndani ya siku moja tu kapata dola billion 26

    Elon Musk ni kichwa sana yule jamaa. Yeye ndie investor mkubwa kwenye rally ya Trump na inasemekena kwa ujumla aliwekeza dollar million 118. Lakini baada ya Trump kushinda utajiri wa Elon ambae kwa sasa ndio tajiri namba moja umeongezeka kwa dollar billion 26 ongezeko hilo likitokana na...
  14. mastermind tz

    Kama ungekuwa na akili ungezitumiaje?

    Hebu jielezee jinsi ambavyo akili zako huwa unazitumia. Kila mtu ana akili pengine matumizi sahihi huwa yanapelekea uwezo wa akili kuongenzeka. Kama mimi ndie ningekuwa nimeulizwa swali kama hili pamoja na kwamba tayari akili ninazo lakini ningejieleza ili kuthibitisha kuwa nina akili na...
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    Suma Genius " Vituko Uswahilini"

    HISTORIA FUPI YA MSANII SUMA " G" A.K .A SILAHA MANENO KIPAJI HALISI KUTOKA USWAHILINI... Kiukweli mimi kama "suma G" katika industry ya Muziki wa Bongo fleva wimbo wangu wa kwanza kunitambulisha kwenye ramani ya Muziki wa Bongo fleva, wimbo huo ulikuwa unajulikana kwa jina la " vidonge vyao"...
  16. B

    Genius JiniX66 Bonge la msanii

    Huyu amemshirikisha Jay Melody katika ngoma yake kali FAR AWAY .Mwanzoni nilijua ni Mnaija mpaka nilipo mgoogle ndo nikajua m TZ.Nilishangaa sana.Kilichonishangaza zaidi ni mshamba wa kuvaa kama Marioo ! Nikashangaa zaidi inakuwaje Jay Melody anaruhusu hilo ? Sasa alieshirikishwa ndo kapendeza...
  17. GENTAMYCINE

    Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  18. ndege JOHN

    Usikute Elon Musk sio genius ila tu kawekeza kwenye project za akili nyingi

    Kuna watu hufikiria labda mtu kufanikiwa na kuwa Tajiri sana ni akili na upepo ndio uliomfikisha pale kumbe nyuma kuna watalaam wengi waliomuuzia wazo akalikubali akatia hela na kweli outcomes ikaja. Kwa mfano kina Bahkresa wao wametulia tu makampuni yana management nzuri yanakua. Yeye haumizi...
  19. BabaMorgan

    Huyu jamaa ni Genius

    Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
  20. ndege JOHN

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering. Kwenye interview zao utagundua wako smart...
Back
Top Bottom