geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Barabara ya Geita kwenda Kamyorwa itengenezwe upya,ni kiungo muhimu kwa uchumi wa taifa

    Kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza,Geita na Kagera wanafahamu umuhimu wa hii barabara hasa kwa uchumi wa eneo hili. Maana ni njia muhimu sana katika kusafirisha watu na bidhaa hasa kwa eneo hili. Hii barabara ilikamilika mwaka 2008 na hapo ndipo ilichochea maendeleo hasa sehemu ilizopita. Kabla...
  2. Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

    Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao. Habari...
  3. J

    Kwa sasa Geita inachangia pakubwa kwenye pato la Taifa, “inastahili" kama Kilimanjaro enzi za kahawa!

    Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa. Geita na...
  4. Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
  5. Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  6. J

    Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  7. B

    Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  8. E

    Mkuu wa mkoa wa Geita , hii inakuhusu

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Geita, nikuombe ufatilie utendaji kazi wa mkuu wa wilaya na mkurugenzi katika wilaya ya nyang'wale. Mkoa wako wa Geita. Mh. Mkuu wa mkoa, lakini pia jaribu kukagua riport za miradi ya barabara ktk wilaya hiyo ya nyang'wale inayotekelezwa na wakara wa barabara vijijini TARURA...
  9. Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  10. Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

    Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi? Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil...
  11. A

    Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  12. J

    Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  13. TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  14. Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  15. GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  16. GE2020 Geita: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 na wabunge Walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-...
  17. B

    TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

    TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani. Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo. Vyakula kwenye majokofu vinaharibika...
  18. K

    Mzee Kikwete: Mlitaka Geita isipate Uwanja wa ndege?

    Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza. Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita, najiuliza kweli mtu atoke Geita town na viunga vyake aende kupanda ndege chato badala ya Mwanza? Kwanini...
  19. GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…