geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Chato imekuzwa na kuwa Chatu, sasa inataka kuimeza Kagera na Geita?

    Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera na Geita. Kwa sasa ni vuta nikuvute, kila upande unavutia kwake, wezee wa mkoa wa Kagera wakisema...
  2. T

    Sasa ni zamu ya masoko kuungua, Soko la Katoro laungua moto

    Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua. Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua. Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua. Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni...
  3. PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  4. Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  5. J

    Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM ya 2020/2025

    Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM. Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri...
  6. Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  7. Sampler – UG Geology at Geita Gold Mining Limited

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  8. Service Crew at Geita Gold Mining Limited

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  9. T

    Mkurugenzi wa Geita anasema anapenda kupumulia watu kwa nyuma.

  10. Geita: Jiko la mkaa laua Mama, watoto wawili

    Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala. Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...
  11. M

    Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

    Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka...
  12. Katoro, Geita bado haijatendewa haki

    KATORO, Geita. Kijiji pekee nchini kwasasa chenye hadhi ya kuitwa MJI lakini bado kinatambulika kama Kijiji sawa sawa na kijiji cha KASATO kule Biharamulo, ama Kiuyu Mbuyuni kule Micheweni, Pemba Zanzibar. UKipata fursa ya kufika KATORO. Hapa kuna BENKI karibu zote uzijuazo MAJI ya kutosha...
  13. Maandalizi ya Mkoa mpya wa Chato, Buchosa wakubali kuhamia Geita

    Katika kile kinachoonekana ni maandalizi ya kuanzishwa na kutangazwa kwa mkoa mpya wa Chato, Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa wamekubali kuhamia mkoa wa Geita. Wananchi wa Buchosa wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma Mwanza wakati wapo karibu na mkoa wa Geita. Inasadikika chini ya...
  14. Mvua ya Mawe (Hailstorm) Geita

    Mlioko Geita hii mvua ya mmeiona? Mimi mahali nilipo imenyesha kwanza mvua yakawaida tokea mchana ila muda mfupi uliopita ikaja ya mawe (hailstorm) kama kwa dakika kumi hivi sasa imekata.
  15. Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

    Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania. Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona. Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita. Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu bungeni. Madini yakwao lakini hayawanufaishi.
  16. J

    CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

    Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi? Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu? Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu? Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu? Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu...
  17. Geita yatangaza uhaba mkubwa wa walimu hasa wa Sayansi na Hisabati

    Tatizo la uhaba wa Walimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari mkoani Geita limefikia asilimia 56 hadi sasa, hali inayosababisha wanafunzi wengi kutofanya vizuri kwenye masomo hayo na kuathiri maendeleo ya elimu mkoani hapa. Akitoa taarifa ya elimu mkoani hapa wiki iliyopita...
  18. Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka. Alitiwa hatiani na kupewa adhabu hiyo baada ya mahakama hiyo kuridhika kuwa alimbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na kumsababishia maumivu...
  19. Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  20. Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv. Sijui maeneo mengine vipi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…