geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  2. Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

    Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita. (1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe. (2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana...
  3. Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  4. Watatu wafariki kwa kufukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wa kichimba madini ya dhahabu katika machimbo ya Nyamatagata wilayani Geita mkoani Geita. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 15, 2022, Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson...
  5. Clerk 1 - Warehouse at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  6. Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  7. George Mpole endelea kubaki Geita Gold, hutajutia

    Mwanangu George Mpole hongera sana kwa kuonyesha juhudi uwanjani katikati ya ligi iliyojaa wageni wengi, juhudi zako zinatamanisha wapenda soka wote duniani. Lakini lakini lakini bado unahitaji kuonekana tena tena kwa wadau wa mpira ukirudia kukifanya hiki ulichokifanya kwenye msimu huu ili...
  8. FIFA yatangaza kuifungia Geita Gold kusajili hadi itakapomlipa Kocha Ndayiragije

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limeifungia Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kutosajili wachezaji mpaka itakapomlipa fidia aliyekuwa kocha wao, Mkuu Ettiene Ndayiragije, mara baada ya kuvunja nae mkataba.
  9. Geita: Mwanafunzi aliyepotea akutwa amefariki dunia pembeni ya mto huku jicho likiwa limetobolewa na nyayo kusagwa

    Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Buhalahala iliyopo halmashauri ya mji wa Geita, Johnson Thomas amekutwa amefariki pembeni ya mto siku sita baada ya kupotea, huku mwili wake ukiwa umetobolewa jicho na kusagwa unyayo.
  10. Mfumo wa LUKU warejea

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema changamoto ya kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki iliyojitokeza jana June 21, 2022 imekwisha na sasa huduma tayari imerejea kwenye hali yake ya kawaida na wateja wanaweza kununua umeme kupitia njia zote. Pia, soma=>...
  11. Geita: Mbakaji aomba nafuu ya hukumu akidai ameshapigwa na wananchi wakati anakamatwa

    Mkazi wa Geita, Yusuph Mlale amehukumiwa miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji. Akiomba nafuu wakati wa hukumu, Mlale alimuomba hakimu ampe nafuu kwenye adhabu kwasababu alikamatwa na wananchi wenye hasira kali ambao walimpa kichapo kwanza kabla ya kumfikisha kwenye vyombo...
  12. Service Crew at Geita Gold Mining 3 Posts

    Career Opportunities: Service Crew (19197) Position: Service Crew Contract type & Duration: Unspecified time Department: UG Mining Reporting to: Supervisor – UG Mining Number of Positions...
  13. Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  14. Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  15. Clerk 1 - Data Capturing at Geita Gold Mining Ltd

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  16. Operator 1 - Equipment at Geita Gold Mining Ltd

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  17. Aishi Manula akatwa na kioo mkononi muda mfupi kabla ya mechi dhidi ya Geita Gold

    Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Geita Gold, leo Mei 22, 2022. Tukio hilo limetokea wakati Manula akiwa ni mmoja wa...
  18. Geita: Wanawake wasusiwa mazishi, wanaume wagoma kushiriki kisa wakituhumiwa kuua waume zao

    Wanawake katika Kijiji cha Imaramawazo, Mtaa wa Ibongo, Kata ya Ludete, Wilaya ya Geita wamesusiwa kuchimba kaburi na kufanya mazishi ya Zawadi Mchele mkazi wa kijiji hicho aliyefariki kwa kuugua ghafla, sababu ikiwa ni wanawake hao kuhusishwa na tuhuma za mauaji ya wanaume katika kijiji hicho...
  19. Assistant 1 - Coreshed at Geita Gold Mining

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…