Natafuta Shule nzuri ya primary mji wa Katoro, Geita

Mpeleke GEITA Mjini tu kama hilo ndio unalotafuta,mpeleke waja tu.Kwa hapo katoro labda kidogo pale wema.
 
Msukuma na kiingereza wapi na wap any way Vuka mto Ngono utakuta kijiji cha katerero, uliza shule ya prahimari ,sawa Ngosha
 
Ili aongee kiinglish vzr lazma aish bwen, au kama ni day na hapo kwako mwongeleshe cha malikia. Vinginevyo mpeleke mkapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom