gazeti la mwananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kifo cha Gazeti la Mwananchi kilitarajiwa baada lakini siyo ghafla kiasi hiki

    Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
  2. tpaul

    Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi

    Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Gazeti la Mwananchi: Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu

    Naona gazeti la Mwananchi wametoka na kueleza kwanini hadi sasa hawajasema chochote na hata kuanza kuposti taarifa zao! Hakuna wakati mgumu wanapitia vyombo vya habari kama kipindi hichi so mimi binafasi na waelewa sana ila wanapaswa kukomaa sana ipo siku watashinda hii vita ya kunyimwa uhuru...
  4. S

    Gazeti la Mwananchi nawauliza Mwanza kuna jimbo linaitwa Morogoro?

    Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule Mwanza.
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 POTOSHI Gazeti la Mwananchi limeandika 'Gwajima aomba rasmi msamaha'

  6. The Father of All

    Fyatu kushinda urahis wa mafyatu kimiujiza

    Najua. Kaya yetu inafanya uchakachuaji, sorry, uchaguzi mwaka huu. Sambamba, nasi mafyatu tutafanya uchaguzi si uchakachuaji wa rahis wa mafyatu Mheshimiwa, Daktari, Profesa, ustaadh, Al haj, Muadhamu, Mtakatifu, Muona Mbali Fyatu Mfyatuzi. Hivyo, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo na wa...
  7. N

    Gazeti la Mwananchi kama mmefilisika si muache biashara? Kila habari imekuwa Prime, maanake nini?

    Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Kama biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

    Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
  9. Li ngunda ngali

    Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

    Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
  10. Cute Wife

    Gazeti la Mwananchi larejea hewani baada ya zuio la mwezi kuisha. Ni zile video tu au kuna la zaidi?

    Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa Wakuu, Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha. Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi...
  11. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Kufungiwa kwa Gazeti la Mwananchi Mtandaoni ni kuminya Uhuru wa Habari

    KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI MTANDAONI NI KUMINYA UHURU WA HABARI ACT Wazalendo tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la Mwananchi Mtandaoni na kuitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa zuio hilo ili gazeti liendelee kutoa huduma ya habari kwa umma...
  12. Mganguzi

    Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  13. M

    Vyombo vya Habari Tanzania bado sana, mfano gazeti la Mwananchi

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka. Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli. Wakati...
  14. T

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  15. M

    Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke

    Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku moja mama yake Ibn Mas'uud (Radhwiya Allaahu 'anha) alitaka maji ya kunywa na ilikuwa usiku – kwa...
  16. GENTAMYCINE

    Nilichokiona kumhusu Mwenezi wa CCM Makonda katika Gazeti la MWANANCHI la Leo kakisema Yeye kweli?

    "Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo"...
  17. CHIEF MGALULA

    Gazeti la Mwananchi kuanza kutoza gharama za kusoma taarifa zao

    Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
  18. NostradamusEstrademe

    Gazeti la Mwananchi tupeni uhuru tusome habari bila kuficha

    Unajaribu kufunga mada kwenye mtandao wa gazeti la mwananchi. Habari zingine unakuta zimeandikwa PM ukibonyeza hadi uwe member hii mana yake nini? Achilieni tusome habari zote.
  19. Roving Journalist

    Gazeti la Mwananchi limeripoti juu ya sakata linaloendelea kuhusu uuzwaji wa Kiwanda cha NPC Kiuta

    September 14, 2023, kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Wajumbe watano wa bodi ya Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (Kiuta), wanakabiliwa na tuhuma za kuuza hati ya kitalu namba 13 ya eneo la kiwanda hicho bila kushirikisha uhalali wa idadi kubwa ya...
  20. Mpinzire

    Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

    Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua! Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege! Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
Back
Top Bottom