Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Gari ninazouza bado ziko vzr mpya na zmetunzwa vzr.Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:-
i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia
ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond.
Nitashukuru kwa...
Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
Henry Ford alitengeneza gari kutoka kwenye mchanganyiko wa plastiki na katani ambayo ilitumia mafuta ya katani karibu karne moja iliyopita.
Ford's 1941 bioplastic Model T ilitengenezwa kwa kutumui katani, kitani, ngano, na spruce massa, ambayo ilifanya gari nyepesi kuliko fiberglass lakini imara...
Hello!
Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa,
Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa?
Au ni vile vya umma havina mwenyewe?
RIP mkurunzi Tannesco!
Karibuni 🙏
Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe.
Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe.
Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi.
Naomba kufahamishwa...
Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana!
Make: TOYOTA ISIS
MWAKA: 2008
CC: 1798
SEATS: 7
DRIVE: AUTOMATIC, 2WD
Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida.
Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256
BEI: 9,500,000
Habari
Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe.
Zinahitajika gari 10.
Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading.
Loading point- Tanga port
Product: Diesel and petrol
0692595127
Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.