gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo. Tukaenda kula bata Billcanas. Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani. Mwamba...
  2. Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

    Ni umri gani no mzuri kumtahiri mtoto?
  3. Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  4. Madalali wa bongo mna matatizo gani lakini?

    Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu" "Gari ya mdada" "Gari ya baba mchugaji hii" "Gari ya mrembo wa...
  5. Kama tunaweza kuteua Marehemu, inatia shaka suala la Vetting linafanyikaje na je kuna mapandikizi kiasi gani Serikalini

    Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale wanaochaguliwa kuwa na sifa zinazohitajika, wanakubalika, na hawana dosari zinazoweza kuathiri utendaji...
  6. G

    Kwenye biashara wahalifu hawapo mbali, uliwahi kupigwa tukio gani hutasahau?

    Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho. Nakumbuka kuna kipindi kulijengwa frem mpya mahala, nikaona ile sehemu kwa jinsi ilivyochanganya nichukue frem, niliweka...
  7. Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  8. Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  9. J

    Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

    Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
  10. Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

    Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government) Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
  11. Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  12. Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
  13. Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  14. Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

    Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
  15. Tuelezwe Rais Samia ametumia kiasi gani kwenda Korea kusini

    Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako...
  16. Asome Fani gani VETA Kati ya hizi zifuatazo?

    Salaam! Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable, Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo ipi aisome? 1. Truck Mechanics 2. Heavy Duty Mechanics 3. Electronics 4. Machine Tool Maintenance 5...
  17. Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  18. Ukiambiwa uache biashara uliyonoyo hadi na madeni utapoteza kiasi gani?

    kwa hiyo kazi yako unayoifanya ukaambiwa kesho uachane nayo na kila kitu ni kiasi gani cha pesa chaweza kuwa nje kwenye madeni? mm haivuki laki mbili.
  19. Hivi baadhi ya wake za watu wana shida gani?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu anaanza kunilaumu nina roho mbaya toka amerudi sijaenda kumuona mara nimnunulie soda wakati mim ni...
  20. Mbinu gani nzuri ya kufanya ili watu fulani waondoke maishani mwako?

    Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya muda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia mbinu gani ili aondoke kwenye maisha yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…