gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi nyie watu ambao kutwa kubishania dini mnapata faida gani? Only fool and poor men can do that

    Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
  4. JamiiForums Tanzania Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekuta hizi dawa kwa mkoba wa Dadangu. Kuna anaejua ni aina gani ya Dawa

    Wakuu naandika hapa ila kichwani niko confused sana, Dadangu aliondoka hom zaidi ya miaka 20, akaenda huko Dar es salaam katika harakati zake na tulipoteana, Kwa baadae kabisa tukapata kuwasliana upya, kwa kipndi hiko na mim nilikuwa nishatoka mkoani nimejenga Jiji flan hapa Tanzania, ikabidi...
  6. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
  8. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  9. JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  10. JamiiForums Tanzania Soko gani naweza pata mafuta ya nazi asilia

    HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada ya kujua kuhusu PMP certification

    Habari zenu. Naona kuna kitu kinaitwa Project Management Professional certification ambapo ukifuatilia wanasema kinatolea na chuo cha project cha P,I kilichopo marekani lakini ukipata cheti chake kinatambulika dunia nzima. Je ni kweli? Kinamanufaa gani kwenye ajira hasa za serikali? inataka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Muamala kutoka CRDB kwenda NBC unachukua muda gani?

    Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

    Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k, Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie. Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo nikitoa gharama...
  16. JamiiForums Tanzania App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kujiwekea akiba ya kipesa?

    Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida. Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia ni heri ya mdudu chungu aliyejiwekea akiba ,so akiba is inevitable. Kibiblia saving ni lazima na...
  18. JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Wakuu, Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣 Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀 Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
  19. C

    JamiiForums Tanzania NSSSF malipo huchukua muda gani ?

    Habari zenu wapendwa, Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote! Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu, Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…