gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ulisomea kazi gani na Sasa hivi unafanya kazi gani?

    Tuwape Pongezi wale wote wanaofanya kazi walizosomea. Nadhani wanafurahia wanachokifanya na wana amani pia. Lakini kama unafanya kazi huku ukiwa na kinyongo basi mafanikio hutayaona. Wengine ambao wanafanya kazi ambao hawakuzisomea, najua ni ngumu kwao kufanya kwa moyo wote. Lakini usiache...
  2. Ofisi za NHIF Mwanza ziko sehemu gani?

    Wakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa na mfanyabiashara!! Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
  3. N

    Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  4. N

    Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho. Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
  5. N

    Stress zako huwa zinakuandamana zaidi mida gani katika siku?

    Mimi ninaweza kukaa siku nzima fresh tu nikiwa na mawazo ya kawaida ila inapofika saa moja jioni aisee mikazo naona ndo inazidi..yaani likianza tu giza kidogo -mawazo ya majuto kuhusu mikopo na madeni sugu. -majuto ya hela nilizotumia kunywa bia zilizogeuka kuwa mkojo, -mawazo kuhusu hela...
  6. Gari hizi zina matatizo gani? Watu wengi wanazikataa

  7. W

    Ni mambo gani hutakiwi kumshirikisha mpenzi wako, hata iweje?

    Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli...
  8. G

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni kitu gani kinaweza kuja kuitoa CCM madarakani?

    Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki. Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi, Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani. Vyuma vikikaza sana Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya Muungano...
  9. Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  10. Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
  11. W

    Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

    Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
  12. Y

    MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
  13. Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  14. Mbunge gani harudi 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020. Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
  15. Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

    Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa. Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila...
  16. G

    nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  17. Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  18. KWA UFAULU HUU ASOMEE KOZI GANI?

    Habari wakuu, Huyu ni binti nilitaka kujua kama mzazi ni kozi gani yenye tija anaweza kusoma , amemaliza kidato cha 4 2023.
  19. U

    Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  20. Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…