gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

    .
  3. JamiiForums Tanzania Kila mwaka ukiisha huwa unajiona ulikuwa mjinga kiasi gani?

    Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, mna mpango gani na Usafiri wa Treni? Mnatuwekea siku maalum ya kukata tiketi, halafu tukifika kukata, mnasema nafasi zimeisha?

    Wana JF mmelala? Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa. Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares salaam, mara Moja Kwa week, ambayo ni Alhamis. Na nauli Huwa ni elfu 36 third class na elfu 48 second...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

    Hamjamboni Watanzania wenzangu Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

    Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani? Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi. Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
  7. JamiiForums Tanzania Serikali mnataka tufanye kazi gani?

    Salamu wakuu. Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu. Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too sad. KiJana anapambana kujiajili. Anajinyima kula sometimes anakula.hata mlo mara mbili ili awekeze...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nisome programming language gani?

    .
  9. L

    JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  10. JamiiForums Tanzania Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

    Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo 1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀 2 Whatsapp channel 😀 3 Kibegi Mtani Sasa rasmi hatapata...
  11. JamiiForums Tanzania Msanii gani alifanya uwe chizi wa muziki!

    Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena! Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini Huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    Yule mdau alikuwa anaporomosha matusi makubwamakubwa ya nguoni mengine hata sijawahi kuyasikia hapo kabla aisee
  14. JamiiForums Tanzania Leo Desemba 9, 2024 ni Kumbukumbu ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, una ujumbe gani kwa Viongozi na Wananchi wake?

    Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini. Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo Gani unaona kwako kwamba huu ndo umefungia mwaka 2024

    Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu, Mimi wangu ni huu👇
  18. JamiiForums Tanzania Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

    Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  20. JamiiForums Tanzania CHAI na USINGIZI vina uhusiano gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi. Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…