gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wewe na mpenzi wako huwa mnapenda kutumia style gani?

    Sisi huwa tunatumia hiyo number 3,9 na 13.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  3. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

    Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako? Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani? Mara nyingi husikia watu wakisema...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  5. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 80 utakuwa katika hali gani?

    Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba gani huu? Unatongoza mwanamke wa baa kwa kumnunulia Chocolate!

    Huu ni upumbavu Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu. Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae. Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'. Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

    Ciao..! waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair. kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana. Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao...
  10. JamiiForums Tanzania TCRA mnaugomvi gani na Civilian-Coin kwa ku block pages zake za FaceBook.

    Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily...
  11. JamiiForums Tanzania Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

    Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
  12. JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya kuku??

    Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa. Paja lake tuu wanauza 15,000 Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1 Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno. Hii ni mbegu aina gan ya kuku? Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
  14. JamiiForums Tanzania Leo Airtel wana matatizo gani mboni mtandao mwendo wa KOBE?

    Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  16. JamiiForums Tanzania Ni mtu gani anayekubalika na mwenye mvuto kwa watu ambaye anapendwa na anakubalika kwa watanzania ndani ya chama cha Mapinduzi?

    Habari wakubwa Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu. Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama kwenye jukwaa anaweza kuwajaza watu wakakaa na wakamsikiliza ? Isiwe huyu mtu amewalipa au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mchanyaniko wa Kitunguu swaumu, kituu maji ,karafuu una faiga gani kwa afya ?

    Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
  18. JamiiForums Tanzania Je umewahi kukanyaga nchi gani? Taja list yako

    Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi: Ethiopia Thailand Timor-Leste Indonesia Myanmar Singapore Ufilipino Msumbiji Japan Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
  19. JamiiForums Tanzania Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

    Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni maneno gani ukikuta mtu kakomenti humu jukwaani unajua kabisa huyu kavurugwa na maisha?

    Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji yako 😁" "Unahitaji kumeza dawa zako" "Tafuta hela" "Njoo pm" "Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…