gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi wajuzi wahayo mambo msaada plz
  2. JamiiForums Tanzania Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Mambo vipi maboss, natumai mko poa. Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30. Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake. Nataka...
  3. JamiiForums Tanzania Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia Sijaoa ila hali hii...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi jamani tabata Pana ishu gani MPAka pajengwe mwendokasi

    Hakuna viwanda Hakuna taasisi Hakuna vyuo Hakuna chochote Hakuna ubalozi Hakuna cha maana Hakuna mall kubwa Hakuna stand kubwa Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema...
  5. JamiiForums Tanzania Hii dua ya namna gani hapa Shekhe!?

    Kuna ile kauli: "MSICHANGANYE DINI NA SIASA" hapa naona haihusiki. Ndio kusema mzani umelalia upande mmoja? Hii ni dua iliyotolewa na Shekhe mmoja hapo kwenye sherehe ya May mosi. Hebu isikie kama hukupata wasaa huo;
  6. JamiiForums Tanzania Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

    Salamu Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado...
  7. JamiiForums Tanzania Picha hii inakupa somo gani?

  8. JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  9. JamiiForums Tanzania Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  12. JamiiForums Tanzania Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

    BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
  13. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?

    Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
  14. JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu hili CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
  15. JamiiForums Tanzania Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa. Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao. Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

    1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro. 2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa. 3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  18. JamiiForums Tanzania Haya madada ma-giant yanecheza mchezo gani huko Korea,yamenivutia kweli

    Nimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
  19. JamiiForums Tanzania Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…