gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kufanya mapenzi na mtu aliye hedhi/period? Je Kitaalamu na Kiimani

    Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje? Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
  2. JamiiForums Tanzania Ulikutana na kituko gani ugenini

    Binadamu huwa tunatembeleana sana yaani je ni kitu gani ulikutana nacho ugenini ukabaki mdomo wazi au kucheka tu Mimi nilikutana na maneno katika kutambulishwa kwa mtoto wake mdogo alikuwa kama ana miaka 6 hivi akalopoka tu mama huyu ndio uncle jana ulisema upendi kuongea nae kwenye simu mama...
  3. JamiiForums Tanzania What names sound " Too Old" For a baby? ( Jina gani linaonekana la kizee sana kwa mtoto)?

    Naanza la kwanza 👇👇👇 1.Mussa 2..... 1000..
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kazi gani unayo (Software) unahitaji msaada? Nikusaidie

    Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie. blog issues website issues softwares issues (Windows 10,11) social media management Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

    BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache 1. Ndugai 2.Simbachawene 3.Mkumbo
  7. JamiiForums Tanzania Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi gani ngumu umewahi kufanya?

    Wana jf niaje, Kazi gani ngumu uliyowahi kufanya katika maisha yako?
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kuvaa pete ya bahati Lakini sielewi inamaana Gani

    PETE ZA BAHATI Natamani kuvaa pete za bahati ila sasa naogopa sielewi inamaana Gani.Nasikia kwa mujibu wa jamaa fulani alisema,wakati akitafuta pete ya bahati aliambiwa apeleke damu ya mnyama,mbuzi mzee, sasa huwa najiuliza, hao walimaanisha mbuzi kweli au ni fumbo? Kwa wenye hizo pete naomba...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hii staili katika mapenzi huwa inakupa changamoto gani?

    Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili? Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
  12. S

    JamiiForums Tanzania Programu gani unahitaji ya Windows OS?

    Programu gani unahitaji ya Windows OS? Adobe Master Collection 2025 - 30,000 Tsh. Ms office Pro Plus 2019 - 20,000 Tsh. Activator ya Windows na Ms office - 20,000 Tsh. Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh. + Programu na zingine nyingi jipatie Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Programu gani unahitaji ya windows OS?

    Programu gani unahitaji ya windows OS? Adobe Master Collection 2025 - 30,000 Tsh Microsoft Office Pro Plus 2019 - 20,000 Tsh Activator ya Windows + Office - 20,000 Tsh Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh Windows OS installation - 20,000 Tsh Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
  14. JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  15. JamiiForums Tanzania Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuthibitishwa Kazini?

    Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  19. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
  20. JamiiForums Tanzania Mtamba wa kisasa anaweza kupandwa akiwa na umri gani?

    Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…