gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

    1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro. 2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa. 3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na...
  2. Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  3. Haya madada ma-giant yanecheza mchezo gani huko Korea,yamenivutia kweli

    Nimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
  4. Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  5. Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
  6. Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

    Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi. Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa. Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta? Weka jibu lako hapa…
  7. Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  8. Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  9. Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
  10. Bajeti yako ya wikiend ni kiasi gani?

    Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
  11. Chama gani kipo tayari kukupa mgombea sahihi 2025 ?

    Chama gani unadhani kipo tayari kutupa mgombea sahihi kwa nafasi ya urais 2025 ? A. ACT Wazalendo B. CHADEMA C. CCM
  12. Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki.. Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
  13. Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
  14. Just for fun: ni ujinga gani hata ushikiwe bastola kichwani huezi acha kufanya ???

    Mimi nimefeli kuacha kutandika mikeka wazee ... Yan napata hasara Ila nikisipotandika mkeka siwez kula Wala kulala.
  15. R

    Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  16. Fani gani ambayo unatamani ungekuwa nayo

    Tupeni michongo ya fani mbalimbali ambazo ulikuwa unatamani uzipate ila kwasasa imekuwa changamoto, Ili vijana tuishi nazo
  17. Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

    Habari nipeni ushauri wakuu
  18. Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Harakati za kuvuka boda zinaendelea Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
  19. CHADEMA iliwahi kukisaliti chama gani cha siasa?

    Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti. Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
  20. Nawezaje kupata mkopo kama muajiriwa mpya ambaye sijakidhi vigezo vya kukopesheka benki?

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess. Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…