Wasalaam,
Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo.
Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari...
Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG.
Chanzo: Jambo TV
Taarifa kamili hii hapa.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi.
Marehemu...
cag
gani
geofrey lawrence makonyu
geofrey makonyu
habari
ingilia kati
kigogo
kuhusu
maswali
mengi
ndimwaga shitindi
ofisi
ripoti
ripoti ya cag
spika
taarifa
ukweli
vifo
watumishi
wowote
Nashindwa kuwaelewa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza kwa eneo la Mwananchi kukosa maji sasa wiki nzima ilihali tuna Ziwa Victoria umbali wa kilomita moja.
Hivi MWAUWASA mna matatizo gani? Tunaiomba Serikali ichukue hatua kwa Mamlaka hii. Tumechoka, tumechoka.
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants.
Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>
Kama unaswali uliza au maoni changia
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
Habari wana jukwaa? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Leo nikiwa naangalia mapokezi ya Rais Kagame wa Rwanda nchini, TBC walirusha kipindi flani cha historia kikionyesha ziara ya Mwalimu Nyerere nchini Rwanda enzi za Rais Habyarimana.
Katika ziara yake hiyo, mwalimu alitembelea kiwanda...
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,
Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,
Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2.
GHARAMA
Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
Nimefungiwa account yangu ya Airtel money toka tarehe 2 mpaka leo wanadai kuna mtu alituma pesa kimakosa ambayo ni TSH 10,000 lakini kwenye account nilikuwa na zaidi ya hiyo nikawaambia muamala wa huyo mtu wangeurejesha
Nimeenda makao makuu yao zaidi ya mara 3 lakini sipewi msaada...
Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama.
Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Tokea nikiwa mdogo nilikuwa sio mpenzi wa kula na kunywa vitu hivi na mpaka nimekuwa nimekuwa na allergies navyo havinidhuru Ila sipendi kula
*Maziwa ya ng'ombe
*Mayai
*Nyama ya kuku,mbuzi,ngombe nakula kidogo Sana napenda utumbo
*Chapati
*Chakula chochote au mboga yeyote yenye mchuzi,mfano...