gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tubashiri: Msigwa atapata uteuzi gani CCM, for sure kuna nafasi ameahidiwa kumbuka alishasema Magufuli alimuahidi Uwaziri

    Moderators naomba msifute uzi huu. Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
  5. JamiiForums Tanzania Mchango ununuzi Gari la Lissu umefika kiasi gani?

    1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango. 2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hizi tofauti za wanasiasa wanaohamia CHADEMA kutoka CCM na wale wanaohamia CCM kutoka CHADEMA, CHADEMA kuna shida gani ?

    Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa 1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali . 2.CCM huchukua na kupokea watu...
  7. JamiiForums Tanzania Squid game ni kitu gani?

    Naomba kujua kuhusu huu mchezo kwa undani na unahusu nini?
  8. JamiiForums Tanzania App gani ya kutoa mkopo, wanatoa kwa namba ya NIDA?

    Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi. Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee. Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

    Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you. ====== Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu kushuhudiwa likifanywa na bodaboda?

    Mwaka mmoja nilifika eneo moja hapo Morogoro, njia ya Dodoma kabla hujafika mizani, sasa mwenyeji wangu alinambia nikishuka kwa bajaji nichukue boda mpaka kwake, sasa kama kawaida bajaji umesimama tu boda kibao hizi hapa nikadandia moja chap nikampa maelekezo akaanza yafuata, barabarani jamaa...
  11. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  12. JamiiForums Tanzania Movies gani nzuri kutazamwa na wajasiriamali?

    Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k. Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kujikuta unamka bila nguo wakati ulizivaa wakati wa kulala ina maana gani?!!

    Unaamka baada ya kulala fofofo unaziona boxer yako na t.shirt vileee pale! Hii ina maana gani wakuu mbona maisha yanakuwa magumu hivi?!!!!!!!!!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali huwa haina bank yake ya biashara? Kuna logic gani serikali kutokuwa na bank hiyo ili kupungunza riba?

    The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo? Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa Katika vitu ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Nizingatie vitu gani muhimu wakati wa kununua gari ili nisije jutia baadae?

    Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute NISHTUENI WAZEE
  17. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  18. D

    JamiiForums Tanzania simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  20. JamiiForums Tanzania Mkoa gani unastahili kuwa na jiji litakaloandaliwa kuwa nembo na kielelezo cha taifa?

    Katika kuhamasisha utalii na kuitangaza nchi yetu na miji yetu, mnaonaje serekali ingeweka mpango mkakati katika baadhi ya miji kuiandaa kuwa nembo ambayo kila mtu atakapofika kwenye miji hiyo asiache kuondoka na kumbukumbu nzuri ya kwenda kuelezea. Mji utakaokuwa ni kielelezo cha:- 1.historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…